Wanasayansi nijuzeni hili kwa mwenye kujua

Wanasayansi nijuzeni hili kwa mwenye kujua

Wakuu hivi wale wadudu wanaowaka usiku mnaweza kujua kwa nini
Wanawaka wanawaKA kupulika kama mnara

Nijuzeni hawa wadudu huku ni wengi sana.....!

Je huwa inasababishwa na nini?

NIJUZENI..!
Mkuu huko kwenu umesema wapo wengi, hebu niangalizie kama hizo taa mchana zinakuwa zinazimwa!
 
nenda kasome ujifunze kama utakuta kuna makosa njoo na elimu uliyopata, acha mambo ya kujifanya mjuaji, kama umeona scientific reply ni ya uwongo unachopaswa ni fact check, teknolojia imekusaidia kuna sehemu nyingi za ku fact check ukikuta ni uongo njoo useme la ukweli ukikuta ukweli ishi nayo, kama huwezi sina cha kukusaidia
Nashindwa kuelewa sijui kwanini mtu anashindwa kujiongeza, una wasiwasi na jibu nenda katafute maarifa zaid halafu ndio uje u challenge hoja ya mtu. Watu wanataka kumezewa kila ktu
 
Nadhani ni chemical wanazalisha inatoa mwanga, pia Kuna aina ya samaki kwenye deep sea kule ambapo mwanga wa jua haufiki wanaitwa angler fish nao wanazalisha mwanga.
 
Nenda kafanye fact check mkuu, sihatiji kuweka refernce kwenye kila basic knowledge kama hujui sasa unajua, siandiki academic reserach mpaka nihitaji kuweka reference, kwenye kila kitu, sija qoute maneno ya mtu
Mbona unajielezea sana mkuu
Do what's necessary au uache tu
 
Back
Top Bottom