Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Hii mbona imekaa kinadharia weka rejea mkuu1.Wanawaka vile kwa sababu ya kutafuta mwenza, wa kiume wanatoa mwanga kama ishara na wakike wanarudisha kuonyesha wamepokea ishara
2. Pia wanawaka vile kwa ajili ya kujilinda na wanyama wanaotaka kuwala kwa kuonyesha kuwa wanaradha mbaya kwa kuwa kwenye kuwaka huko hutoa chemical inaitwa lucibufargins ambayo ina radha mbaya