Hii mbona imekaa kinadharia weka rejea mkuu1.Wanawaka vile kwa sababu ya kutafuta mwenza, wa kiume wanatoa mwanga kama ishara na wakike wanarudisha kuonyesha wamepokea ishara
2. Pia wanawaka vile kwa ajili ya kujilinda na wanyama wanaotaka kuwala kwa kuonyesha kuwa wanaradha mbaya kwa kuwa kwenye kuwaka huko hutoa chemical inaitwa lucibufargins ambayo ina radha mbaya
Ndiomaana unaongea point mno leo! Kila ukitaka kulog in uwe unaipiga hata kombe moja tu😎Nagonga mbege kwa raha zangu 💪
Hapana sio hivyo unavyofikiria! Nimefupisha mbabe na kuandika babe usifikiri ni mahaba hayo!🙆🏽♀️Hii imekaaje hii mara hii umegeuka na kuanza kuuchoma moto mtima wangu👀
Kwanza nisamehe Seran 🙂🙂🙂🙂.Nagonga mbege kwa raha zangu 💪
Acha sasa nichangamke nile kwanza kisha nijisogeze kitambaa cheupe nipate za baridi na moto kadhaa maana ninamzuka sasaaaaa🤣Hapana sio hivyo unavyofikiria! Nimefupisha mbabe na kuandika babe usifikiri ni mahaba hayo!🙆🏽♀️
Yeah, mbege makes me feel high. The so called pingu gets me into trouble.Ndiomaana unaongea point mno leo! Kila ukitaka kulog in uwe unaipiga hata kombe moja tu😎
Hii imekaaje hii mara hii umegeuka na kuanza kuuchoma moto mtima wangu👀
Hahaha 😂.Kwanza nisamehe Seran 🙂🙂🙂🙂.
Alaf Bro The Icebreaker . Kwan kwenye VAR kuna upendeleo?.
Basi naomba uweke Ice ili patulie hapa kwenye ID ya min -me vs secretarybird.
Natania bana.
Tuliaaaa nisha weka gia sawa nasubiri kujaza mafuta tuNa Kisukari kitakupanda muda si mrefu 😊😊😊.
Kwahiyo hawa ndio wataalamu wa Wadudu sio?
Homie nakuita mara tatu,,Goba sio kijijini😂😂😂Sijui labda tumuulize huyu ERTUGRUL BEY kama wapo kijijini kwao goba
Mjusi ulipotelea wapi mkuu?Tuliaaaa nisha weka gia sawa nasubiri kujaza mafuta tu
Mkuu acha tu nilikatia kitambi ka binti ka watu ikabidi nifunge mkanda nikatafutie maembe na kifusi cha udongo hapa penyewe najiiba tu muda sinaa
Njoo kwenye chimbo letu kule unieleweshe kwanini goba sio kijijini😅😅Homie nakuita mara tatu,,Goba sio kijijini😂😂😂
Pambano la kindege na mimi, sahau bwashee , hao ni watu wenye mitazamo inayoendana karibu 89Kwanza nisamehe Seran 🙂🙂🙂🙂.
Alaf Bro The Icebreaker . Kwan kwenye VAR kuna upendeleo?.
Basi naomba uweke Ice ili patulie hapa kwenye ID ya min -me vs secretarybird.
Natania bana.
Wala hutanii, am all the queen’s men😂Kwanza nisamehe Seran 🙂🙂🙂🙂.
Alaf Bro The Icebreaker . Kwan kwenye VAR kuna upendeleo?.
Basi naomba uweke Ice ili patulie hapa kwenye ID ya min -me vs secretarybird.
Natania bana.
Namimi naomba nipasie za baridi lakini!Acha sasa nichangamke nile kwanza kisha nijisogeze kitambaa cheupe nipate za baridi na moto kadhaa maana ninamzuka sasaaaaa🤣
Take care ov urself, do not get into pingu trouble 😁Yeah, mbege makes me feel high. The so called pingu gets me into trouble.
Namtafuta sana, sijui shida ni nini mdogo’etu 🥲