Wanasayansi nijuzeni hili kwa mwenye kujua

Wakuu hivi wale wadudu wanaowaka usiku mnaweza kujua kwa nini
Wanawaka wanawaKA kupulika kama mnara

Nijuzeni hawa wadudu huku ni wengi sana.....!

Je huwa inasababishwa na nini?

NIJUZENI..!
Mkuu huko kwenu umesema wapo wengi, hebu niangalizie kama hizo taa mchana zinakuwa zinazimwa!
 
Nashindwa kuelewa sijui kwanini mtu anashindwa kujiongeza, una wasiwasi na jibu nenda katafute maarifa zaid halafu ndio uje u challenge hoja ya mtu. Watu wanataka kumezewa kila ktu
 
Nadhani ni chemical wanazalisha inatoa mwanga, pia Kuna aina ya samaki kwenye deep sea kule ambapo mwanga wa jua haufiki wanaitwa angler fish nao wanazalisha mwanga.
 
Mkuu huko kwenu umesema wapo wengi, hebu niangalizie kama hizo taa mchana zinakuwa zinazimwa!
Taa ni ndogo hata hazionekani itakua ni kwa 7bu taa ni ndogo ila nahisi hata mchana zinawaka tunawaita (wamwelemwesa)
 
Nenda kafanye fact check mkuu, sihatiji kuweka refernce kwenye kila basic knowledge kama hujui sasa unajua, siandiki academic reserach mpaka nihitaji kuweka reference, kwenye kila kitu, sija qoute maneno ya mtu
Mbona unajielezea sana mkuu
Do what's necessary au uache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…