Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao?

Lengo la kusoma ili upate hela. Kusolve matatizo ni issue ya ziada. Ingekuwa kusoma ili u-solve matatizo watu wangefanya kazi kwa kujitolea. Masilahi kwanza mambo mengine ndiyo yanafuata
sasa kama unatafuta pesa kwenye taifa lenye kipato kidogo badala ya kuliendeleza lli liwe na kipato kikubwa nawe upate pesa badala yake unakimbia sasa hapo utakuwa huna uzalendo hata kidogo na taifa lako

unafikiri mataifa yaliyoendelea sasa hakuna wanasayansi na wataalamu waliojitolea zamani na kulitumikia taifa bila kulipwa pesa kubwa mpaka taifa likapata mwanga
 
kwani wangebaki kwenye nchi zao wakayafanya hayo waliyoenda kufanya kwenye mataifa makubwa si ipo siku kazi za mikono yao zingewalipa au tuseme wana tamaa ya pesa?
Tatizo si wao bali tatizo ni serikal nyingi za afrika zinatabia ya kuto kudhamini wavumbuz wa ndani. Ni wavumbuv kibao wamefanya makubwa, tatizo ni kwamba serikal zinaposikia flan kafanya kitu flani badala ya kumsupport wanaanza kuwawekea vikwazo vya kisheria, na kiuchumi.

Kukwepa hali hiyo lazima waende nchi ambazo zina support vipaji vyao. Na ndio huko nyota zao zilipo ng'ara.
 
Binafsi hii sera haitofika mbali, je unaposema viwanda umeandaa mazingira gani ili kusaidia viwanda?.

Sasa wenye pesa wenyewe hawajitokezi hadharani(mo,bakhresa) kujenga viwanda hii ni kutokana biashara zao zumelega lega.

Binsfsi hii Sera imekaa kisiasa kuwapumbaza wasiofikiria.

Zungumzia viwanda ,kungekuwa na taasisi moja ambapo hata ukienda Leo unapata leseni kesho unaanzisha viwanda,watoe kodi na milolongo kibao ambayo inakatisha tamaa kwa wazawa(sheria za kikoloni kabisa)

Mo na bhakhresa wamejulikana sana kipindi cha kikwete,je ni kwa nini?
 
fact dawa ndio tatizo ndio inasakwa hapa
 
Kwann warud wakati kule walipo wako supported kwa kila kitu?

wazungu wanapotuahinda ndio hapo, kipaji kinapo ibuka wana kitetea, wana support. Waafrika kipaji kikiibuka wanakigandamiza.
 
Kwann warud wakati kule walipo wako supported kwa kila kitu?

wazungu wanapotuahinda ndio hapo, kipaji kinapo ibuka wana kitetea, wana support. Waafrika kipaji kikiibuka wanakigandamiza.
Watanzania tatizo tunaamini elimu ni kwenye karatasi tu,ndio maana mtu akiwa na kipaji wanampuuzia.
 
unafikiri kuna aliyegundua kitu ambacho hakijagunduliwa hapa duniani? na kama amemodify kitu ambacho kilishagunduliwa yupo ambaye alivumbua kitu chenye ubora kuliko kilichotangulia kuvumbuliwa na wenzetu?

unafikiri wanafunzi wengi wanaopata sponsor kwenda kusoma kwenye mataifa hayo makubwa wangekopi hiyo technologia na kuja kutupatia tungeshindwa kujitoa hapa tulipo?
 
fact nikweli naona hii serikali inakurupuka haina mpango madhubuti kipi inafanya kwa wakati badala yake inataka kufanya kila kitu kwa pamoja bila kuangalia kipato kilichopo

pia moja kwa moja wanaonea uwivu mataifa makubwa yaliyofanikiwa na kutamani kuyafikia mapema bila kuchunguza mataifa hayo yamefikaje huko?

mwisho pia huenda wanaohamasisha sera hii hawana uelewa wa kutosha jinsi ya kutekeleza na sio wataalamu husika (wanasayansi) bali ni wanasiasa tu hili ni tatizoo
 
kwani tunasoma ili tupate pesa au tunasoma ili tusolve matatizo yetu hivi wakina newton na eistein wangekuwa wanafanya kazi ili walipwe hivi kuna nchi ingeweza kuwalipa
Za za kina newton na einstein to taofauti sana na zama sasa. Hao unaowasema wangeish kipindi hiki wangepata shida.

Kwasasa ukweli ni kuwa dunia imeiganya pesa kuwa kipao mbele cha kwanza. Sad but huo ndio ukweli, ndio mfumo uliopo...
 
Nikwambie tu kuwa satelaiti ya kenya imetengenezwa japan hawakuunda wao, na magari yanaundwa na kampun za nje ndani ya ardhi ya kenya.so bado japo kuwa kenya wanapiga hatua kwa kasi kuliko sisi
 
sawa hii ni sababu wew unafikiri tutabadili vipi mtazamo wa serikali zetu za africa hasa africa mashariki?
Sera mkuu sera ni mbovu,sayansi haitaki siasa na ujuaji wa mtu mmoja anayetaka kila kitu asikilizwe yeye.
Pili viongozi wetu wanaongea au kutoa maamuzi based on his emotion,akiamka mkewe kamchukiza anakasirikia hadi wananchi.
Ukiangalia nchi kama ujerumani na uingereza kwa nini viongozi ni wanawake na wanamudu uongozi?
 
hilo sasa ni tatizo wangelisolve kwenye nchi zao walizozaliwa na sio kukimbia
Swali ni kwamba wangebaki nchi zao zinge support idea zao? Shida ni kwamba viongozi wengi afrika ukiwaletea idea kama hizo wanaangalia kwanza wata tajirikaje. Kama haiwanufaishi wakuu basi hatoi support kwa lolote. Sasa kwann mtu asiende nje?
 
Za za kina newton na einstein to taofauti sana na zama sasa. Hao unaowasema wangeish kipindi hiki wangepata shida.

Kwasasa ukweli ni kuwa dunia imeiganya pesa kuwa kipao mbele cha kwanza. Sad but huo ndio ukweli, ndio mfumo uliopo...
sasa hapa tulipo sasa kwa tanzania ni kama kipindi hicho cha hao wakina newton na Einstein hapa bila kupata watu wa kujitolea sera ya viwanda itabaki kunenwa kwenye midomo ya watu lakini hakutakuwa na matendo
 
sasa hapa tulipo sasa kwa tanzania ni kama kipindi hicho cha hao wakina newton na Einstein hapa bila kupata watu wa kujitolea sera ya viwanda itabaki kunenwa kwenye midomo ya watu lakini hakutakuwa na matendo
Ndugu zama zimachange. Hatuko zama hizo, sasa hiv serikal inafikiria zaidi kuinua uchumi, inafikiria pesa zaidi kuliko uvumbuvi. Kuna vijana hapo miaka kama mitatu nyuma na kuendelea, walivumbua vitu flani lakin serikal ikawafukia chini. Mmoja alichukuliwa akapelekwa south africa na kampun ya kutengeneza ndege. Wengine story zao hazijulikani.

tatizo hatuna uongozi unaodhamin vumbuzi, ungozi uliopo ni wa kimaslahi zaidi.
 
Swali ni kwamba wangebaki nchi zao zinge support idea zao? Shida ni kwamba viongozi wengi afrika ukiwaletea idea kama hizo wanaangalia kwanza wata tajirikaje. Kama haiwanufaishi wakuu basi hatoi support kwa lolote. Sasa kwann mtu asiende nje?
wengi hapo huwa ni kwamba walienda kusoma kwenye mataifa makubwa na kuzamia huko moja kwa moja sidhani kama walijaribu kurudi nchini hata kwenda wizara ya sanyansi nchini mwao na kuieleza kwamba wana mipango fulani na nchi yao na kusikiliza majibu yatatoka yapi
 
enzi nadhani economic status yetu ya sasa ipo sawa na ya amerca zama hizo za hao wakina newton huo uchumi tunaotaka kuunyanyua ni upi na unanyanyuka?
je uchumi unanyanyuliwa na siasa au?
 
enzi nadhani economic status yetu ya sasa ipo sawa na ya amerca zama hizo za hao wakina newton huo uchumi tunaotaka kuunyanyua ni upi na unanyanyuka?
je uchumi unanyanyuliwa na siasa au?
Nope .tatizo ni serikal haipo supportive. Shida iko kwenye uongozi
 
kahiyo hapo wakirekebisha issue zitaenda pouwπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Nikizungumzia policy sijazungumza kitu kimoja sera ni kwa upana zaidi ila nimesema sera,sera zetu hazina favor kwa scientists kama hao.
Nadhani umenielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…