Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Nunua Toka UK

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
265
Reaction score
540
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.
 
Kuna watu walikushauri uende polisi, ulienda? Ikawaje?
Famya urudi kwenu
Hii issue imekuwa ngumu kwangu kwa sababu hao Polisi ndio wahusika na organisations nyingine. Hii issue kama ingekuwa kwa watu
wengine wasingeweza kufika hapa nilipo. Kuna mambo kibao yamefanyika kujaribu kunidhalilisha na kuni discredit
 
Una shughuli gani hapa London mpaka ufuatiliwe hivyo?
Ndio kwanza nausoma huu uzi ila wa mwanzo sijauona kabisa
Pole maana hata kukushauri siwezi maana mimi ni mbeba box tu sio mbobezi wa masuala ya technologies au hata uhaini
 
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.

Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.

They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.

Nina hasira sana na hii.

MOD naomba msifute huu uzi
Hizo waves zinatumwaje kwako mkuu? Au unamaanisha huko nako kuna sangoma waliokubuhu?
 
Back
Top Bottom