Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa anamaanisha Ukerewe!UK ukimaanisha Ukonga au?
Upweke tu and your dog life existence vinakusumbua.Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Mimi sileti tishio lolote lile. Hata criminal record sina. Nilipokuwa ninafanya kazı hospitali nadhani tatizo ndio lilianzia hapo. Kama blame culture flani hivi ya makosa madogo madogo. Baadae watu waka ikuza zaidi. Baadae ikaleta matatizo na hisi wengine wakaona ndio apportunity.Mkuu,
Kam alivyosema mmoja wa wachangiaji huko juu, unahitaji msaada wa kitabibu kwa haraka sana. Bila kujali unachotueleza ni kweli au ni mtazamo wako baada ya kupata hiyo shida uliyonayo.
Nasema hivi kwa sababu, kwanza hatujui wewe ni nani hapo Uingereza kwa maana ya nafasi yako katika hiyo jamii. Je, kwa kazi unayofanya huko unaleta tishio lolote la kiusalama mpaka watu wawekeze nguvu, muda, teknolojia na fedha ili wewe udhurike?.
Swala la kusema kuna waves, je zinakuaffect wewe tu peke yako, ilhali watu wa pembeni hawapati shida hiyo?, una microchip uliyowekewa au kifaa chochote mwilini kinacho sababisha hayo mawasiliano yakufikie mwilini?.
Kama hapana, basi hiyo ni mental illness.
Wewe ni muongo si mbeba box hupo vizuri sana na umeishi uingereza miongo kadhaa. Acha kujishusha mkuu.Una shughuli gani hapa London mpaka ufuatiliwe hivyo?
Ndio kwanza nausoma huu uzi ila wa mwanzo sijauona kabisa
Pole maana hata kukushauri siwezi maana mimi ni mbeba box tu sio mbobezi wa masuala ya technologies au hata uhaini
Kuna mambo mengine ya hizi waves ambayo yamenipata nikiweka hapa kwa sasa hivi. Nitaoneka na matatizo ya akili.Pole sana.. Ni mara ya kwanza kusikia kama kuna torture ya waves, hii kitu sijawahi kusikia kabla. Na bado nabaki na maswali kuwa, kama inakutokea ukiwa sehemu ya public ni kwanini hizo waves zinakuja tu specific kwako.
Usibase upande mmoja tu kuwa kuna waves unatumiwa, jaribu pia kufanya ufatiliaji hospitalini wa afya yako ya Akili. MImi hii kitu ya kutumiwa waves sijawahi kusikia hata kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Ndiyo kwanza naisikia kwako.
Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Hhmm.... Pole sana, nitafatilia hili.Kuna mambo mengine ya hizi waves ambayo yamenipata nikiweka hapa kwa sasa hivi. Nitaoneka na matatizo ya akili.
Kwangu kuwa Public ni kupitia mobile. Halafu kitu nilicho notice zikiwa ninatumia mobile nikishaanza kuzipa ninaendela hata nikizima mobile na ku block signal. Inawezeka pia temperature yako ya mwili inachangia. Kuna siku nilipata nikiwa Public baada ya kwenda chochoni nikasema ngoja nijaribu ku weak maji baridi kichwani zika stop. Pia
labda kunaweza kuwa na sababu nyingine nyingi
Tufike mahali tukubaliane tu kwamba huyu Ndg. ana shida. Inafikirisha sana mtu kulalamika hivyo lakini wakati huo huo hajatuambia/hajajibu hoja za wadau kwamba Yeye ni mtu mwenye nafasi gani (Status) au Cheo au kazi gani nyeti (sensitive)hapo UK kiasi kwamba wapo watu wameamua "kumshughulikia" kivile? Halafu wadau wamemshauri arudi nyumbani lakini bado anang'ang'ania hapo UK. Inashangaza sana. Je, huyu jamaa ni tishio kiasi gani katika mustakabali mzima wa Jamii anayoishi nayo hapo UK? Ninadhani wadau hapo juu waliosema Tatizo lipo kichwani mwake wapo sahihi. Inakuwaje jamii ya hapo UK iache kushughulikia maswala nyeti ya Maendeleo ya nchi yao eti wakajishughulishe na mtu mmoja tena m-bongo wa Tz. Ingekuwa ni kweli kwamba yy ni tishio au ni mtu muhimu sana, wangekuwa weshamlamba kichwa. Mbona kazi rahisi sana hiyo? Eti wanatuma waves. Hahahaa. Broo, Nunua Toka UK fanya fasta urudi hapa Bongo na upate ushauri wa Wazee. Achana na UK. Hawana maslahi na wewe ila ww unadhani una maslahi kwao.Mkuu,
Kam alivyosema mmoja wa wachangiaji huko juu, unahitaji msaada wa kitabibu kwa haraka sana. Bila kujali unachotueleza ni kweli au ni mtazamo wako baada ya kupata hiyo shida uliyonayo.
Nasema hivi kwa sababu, kwanza hatujui wewe ni nani hapo Uingereza kwa maana ya nafasi yako katika hiyo jamii. Je, kwa kazi unayofanya huko unaleta tishio lolote la kiusalama mpaka watu wawekeze nguvu, muda, teknolojia na fedha ili wewe udhurike?.
Swala la kusema kuna waves, je zinakuaffect wewe tu peke yako, ilhali watu wa pembeni hawapati shida hiyo?, una microchip uliyowekewa au kifaa chochote mwilini kinacho sababisha hayo mawasiliano yakufikie mwilini?.
Kama hapana, basi hiyo ni mental illness.
Mkuu depression inahisikaje na mimi kusema nina pigwa na waves?Depression
Mkuu,Mimi sileti tishio lolote lile. Hata criminal record sina. Nilipokuwa ninafanya kazı hospitali nadhani tatizo ndio lilianzia hapo. Kama blame culture flani hivi ya makosa madogo madogo. Baadae watu waka ikuza zaidi. Baadae ikaleta matatizo na hisi wengine wakaona ndio apportunity.
Kitu kikubwa ambacho nina pia kimechangia ni kutokuwa na marafiki
Hii issue ilikuwa inanıpa shida sana kwa sababu ukianza kumwelezea mtu ni moja kwa
moja anakuweka kwenye kundi la watu wenye matatizo ya afya ya akili.
Hata nilipokuwa lına yoksa hapo mwanzo nilishindwa kulala mika kwa sababu utaanzaje na husiishie kujiuma uma.
Nikipata ushahidi wowote wa wanapowasilina nitaweka hapa