Mkuu
Kaveli
Kuna mambo ambayo nimejifunza kwenye ili swala langu;
1)Wakati sisi priority yetu ni kujiboresha sisi na familia zetu. Wenzetu PIA wanaangalia kuboresha mazingira ya vizazi vyao vijavyo. Mfano, sisi tunaweza kupewa pesa ambazo zitasaidia kununua gari zuri au nyumba tukafanya maamuzi ambayo yataleta matatizo katika vizazi vyetu vijavyo.
2)Nimejifunza watu fulani kama swala fulani linaweza kuwafaisha wao, vizazi vyao, nchi yao au bara lao. Kutoka kwa vizazi fulani. They can join forces, turn a blind eye, breaking some their laws etc
3)Watanzania wengi hasa waliopo London hawajichanganyi sana watu wengine. la sivyo ili swala lingekuwa limeshafika uku.
4)Tamaa ya pesa ndio inatuangusha sana sisi weusi
5) Kama unataka kumwumiza mtu kwenye mambo ambayo yatakuwa hayana ushahidi wa moja kwa moja. Fanya kampeni kwanza mfano kumwita PARANOIA. Chochote hatakacho kuja kusema hapo baadae kitakuwa dismiss kirahisi