Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 265
- 540
- Thread starter
- #61
Mkuu hii kurudi Bongo mbona nimeshasema nina chukua emergency travel document jumatatu au jumanne halafu wiki hiyo hiyo ninakwea pipa. Haya mambo yata kuwa sio tatizo langu tena.Tufike mahali tukubaliane tu kwamba huyu Ndg. ana shida. Inafikirisha sana mtu kulalamika hivyo lakini wakati huo huo hajatuambie/hajajibu hoja za wadau kwamba Yeye ni mtu mwenye nafasi gani (Status) au Cheo au kazi gani nyeti (sensitive)hapo UK kiasi kwamba wapo watu wameamua "kumshughulikia" kivile? Halafu wadau wamemshauri arudi nyumbani lakini bado anang'ang'ania hapo UK. Inashangaza sana. Je, huyu jamaa ni tishio kiasi gani katika mustakabali mzima wa Jamii anayoishi nayo hapo UK? Ninadhani wadau hapo juu waliosema Tatizo lipo kichwani mwake. Inakuwaje jamii ya hapo UK iache kushughulikia maswala nyeti ya Maendeleo ya nchi yao eti wakajishughulishe na mtu mmoja tena m-bongo wa Tz. Ingekuwa ni kweli kwamba yy ni tishio au ni mtu muhimu sana, wangekuwa weshamlamba kichwa. Mbona kazi rahisi sana hiyo? Eti wanatuma waves. Hahahaa. Broo, Nunua Toka UK fanya fasta urudi hapa Bongo na upate ushauri wa Wazee. Achana na UK. Hawana maslahi na wewe ila ww unadhani una maslahi kwao.
Mambo ya wrong beliefs. Hayana huusiano wowote na cheo. Bali inahuhusiano na vulnerability, ni bullying. Ukweli ni mchungu kwangu lakini ndio ukweli.
Udhaifu ulionao ndio kivutio kwa watu fulani.
Hapa UK watu wameshafungwa kwa kuua watoto kutokana na kuamini ni devil. Kwanini asimwue mume au mke kwa sababu watoto ni rahisi kuwa blame kwenye mambo fulani.
Kwa kuwa victim ili haina huhusiano kama una cheo kikubwa au una endesha garı züri bali opposite of those