UkereweUK ukimaanisha Ukonga au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UkereweUK ukimaanisha Ukonga au?
Unang'ang'ania nini huko brother, Duniani unatafuta Fweza ama unahitaji Amani (furaha) ...!!?Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Unafanya nini huko mpaka linchi kubwa hivyo litandaze vifaa vya kukuzingua kila mahali?Kuna mambo mengi yamenikuta niki yaongelea kwa watu nitaoneka kichaa.
Anyways,
Issue ilianzisha kwenye nyumba ambayo nilikuwa nina ishi na jamaa wenyine. Nilipoanza kupata hızo electrical shocks nilikuwa nina hisi kuna kifaa special ambacho kına emit hizo waves. Baada ilipoamia kwa wanafunzi wa vyuo.Mmoja wao akafanya blunder au inawezekana alifanya makusudi ili kunifanya nionekane paranoid. Nilikuwa nipo station ya treni nimekaa kwenye bench halafu nimelalia begi. Nikaanza kupata hizo shocks.
Nikaangalia kama kuna mtu mwenye kifaa chochote vile cha electronic karibu yangu na kama amekielekezea kwangu. Lakini sikuona zaidi ya demu mmoja alikuwa amekaa bench linalofuatia na alikuwa anaongelea kwenye mobile. Hii ilikuwa ni usiku sana kwa hiyo abiria walikuwa ni wachache sana. Nikarudi kuinamisha kichwa kwenye begi tena, nikawa nina hisi labda hakuna kitu. Baada ya muda nikapata nyingine kubwa sana hii ilikuwa kama umekuswa na sindano kidogo. Nikasimama kabisa kuangalia tena hakuna mtu alikuwa na kifaa chochote na wengi walikuwa kama vile wana dose off zaidi ya yule dada alikuwa kwenye simu. Nikatembea hatua chache kwenda kujiegemeza kwenye ukuta kuangalia zaidi. Yule dada akasimama na kuondoka haraka haraka akatoka nje ya station niposema ngoja nikamwangalie anaenda wapi. Alikuwa ameshatokomea. Hapo ndio ikaja possibility ya kuwa inawezekana wanatumia app na mobile rear camera ku emit waves. Natokea kuna matukio mengi ya camera. Lakini pia inawezekana, kama nilivyosema hapo nyuma labda ni kunifanya nionekane paranoia. Na hizo waves zinatoka sehemu nyingine tofauti.
Nyingine ni cctv. Na hizi sio shocks
sensation bali zinakupa maumivu fulani haşa kichwani juzi nilipigwa moja nikiwa station kama sindano vile. Maumivu ni mpaka leo.
Nyingine nadhani zinatoka kwenye mobile tower kupitia mobile signals. Hii ni observation yangu vile vile watu waliopo behind wanaoneka wanajua kazı yao kisawa sawa
Kuna mambo mengine lakini wacha niachie hapo
Anaandaa movie huyoHamna !tus
Hamna!ila tuseme yeye ndio amekuwa wa kwanza kushtuka(coz ana ufahamu mkubwa) ,pili labda wengine wamejua ila siyo wa TZ ,na hawana acc jf, so wanalalamika huko kwingine ,ie Nigeria nk,. Honestly sipendi kudhalau matatizo ya watu,napenda nisikie mpaka mwisho, japo siyo justification ya kuamini harakaharaka
Pole sana mkuu. Kwani huna passport mpaka uombe emergency travel document? Au ilipotea? Tanzania si una ndugu? UK ulienda zamani sana? Hata mimi nakusahuri urudi kama hali siyo nzuri.Nimeshaena ubalozi na jumatatu au jumanne nina weza
pewa emergency travel document
Mtu ni sample halafu wakubali arudi Tz, hiyo mionzi itafika huku?Schizophrenia
Mara matatizo yalianza kwenye nyumba unayoishi
Post chache baadae unatuambia itakuwa kazini huko kwenye mambo ya afya (sector ambayo imejaza waafrika luluki, kwanini iwe wewe).
Kule mada nyingine umesema ilianza kwenye kituo cha train usiku.
Una sharp pain kwenye kichwa, huyo GP badala ya kuku-refer kufanya MRI scan kataka ukapimwe damu. Halafu baada ya kupata vipimo vya damu baada ya kuona clear akakuacha wakati bado una shida without referring you to get ‘360 health assessment’. Au hata kuku refer kwa wataalamu wa mifupa, nervous system kuchunguza zaidi.
Unadhani unafanyiwa testing, halafu hiyo sample yenyewe inadhurura (non-controlled na researchers) kupata hizo results ina maana inabidi wa bug unapoishi, wakufuatilie (24/7) hizo gharama zote sijui nani ana fund hiyo research.
Bado wa hack NHS system kupata medical records (kosa ambalo ni kinyume na data protection law) na lina adhabu kali.
Polisi washirikiane na research organisation hiko kitu hakipo, ikibainika kesho commissioner hana kazi, bunge litataka inquiry nani wengine wanahusika wachukuliwe hatua, na waziri hana kazi.
Bado moto wa IOPC police watchdog, jeshi la polisi awawezi shiriki ujinga kama huo, wala hakuna mwenye akili timamu anaeweza washurukisha. Research kama hiyo itakuwa siri polisi wote awawezi jua.
Kwanza sidhani kama, kuna taasisi inaweza fanya research kama hiyo U.K. zaidi ya MoD tena ata humo ndani kwao itakuwa siri ya watu wachache bearing the unethical practice involved mambo kama hayo lazima wafanyie kwenye control environment tena kwa siri kubwa sana.
Hao ‘guinea pigs’ wenyewe kuwatumia kwenye research hiyo kuna masharti luluki, seuse binadamu.
Hata research centre yao ‘Porton Down’ ambapo ukiingia tu kwenye radius kabla hata ujafika getini polisi hao. Wanaofanya kazi kuingia na kutoka huko checks zake sio za kitoto.
Bado hujui waves zinavyotembea, kama ungejua waves zinavyosambaa inatanuka in circle so aziwezi mpata mtu mmoja, labda ungesema laser.
Kwa sababu unarudia hivi vitu sana na unaamini kuna watu nyuma yake (watu ambao wapo kichwani) it’s time kuomba psychological help.
Watu wengi wanambeza Mtoa mada ila me nahisi kuna kitu cha kuangaliwa zaidi..Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi
Hapo sasaMtu ni sample halafu wakubali arudi Tz, hiyo mionzi itafika huku?
Ataendaje hospital wakati hana documents?.Ukija huku ndio utaokota na kopo barabarani, nenda hospitali ukaangaliwe afya ya akili.
Nani alikwambia kwamba clandestine research kama hizo ni lazima Guinea pig awe ndani ya maabara ? , Kuwa na conditioned environment ni mahala popote hiyo kitu inafanyika , unafikiri wakati CIA wanawatengeneza wauaji kama Timothy McVeigh walikuwa wamewafungia maabara ?Uwezi kufanya hizo experiments leo, research za 60’s kurudi nyumba mambo waliyokuwa wanafanya watu kama hakina Pavlov, Skinner, Watson na ‘behaviour psychologists’ wengine, including CIA ‘conditioning’ programmes dunia ya leo yana tafsiriwa kama inhumane, barbaric and unethical.
Pili psychology ya kumbadili mtu akili inahitaji reinforcement ya external stimuli’s for conditioning to occur. Research zote za zamani zilikuwa under controlled environment miaka hiyo. Sio mtu ambae yupo barabarani unafukuzana nae that’s impossible because he needs to learn on how to respond to stimuli wanavyotaka ili kushape tabia.
Halafu kwa U.K. serikali kufanya kitu kama hiko aliwezekani sikia tu hao human right activists, bado kuna maswala ya moral za jamii against mambo kama hayo.
Yaani uende kituo chochote cha polisi ku-report halafu popote wajue huyo mtu ni ‘guinea pig’ wa research fulani ambayo inatakiwa kuwa siri, that’s not how national security staffs hide their plans (ndani kwenyewe watajua watu wachache). Ikibainika waziri hana kazi na wengine luluki if not serikali kuvunjwa na kuitishwa kwa uchaguzi mpya.
Hilo sio swala la mzaha hata kidogo kwa U.K. na aliwezekani for many reasons practicality ya research ambayo inahitaji controlling the subject and environment, unethical kwa dunia ya leo hasa kwa nchi kama UK, morality ya U.K. public which views such exploits as unacceptable behaviour kwao na issue kama hiyo ikibainika ugomvi wa media na public kwa serikali si mdogo.
Huyo mtu anahitaji psychological intervention tu hayuko sawa kichwani.
Take time kwanza kujifunza hata basic knowledge how classical and operant conditioning works, ndio utaelewa kwanini kunahitajika control environment or read kitabu kinaitwa ‘Walden Two’ a utopia society by B.F Skinner.Nani alikwambia kwamba clandestine research kama hizo ni lazima Guinea pig awe ndani ya maabara ? , Kuwa na conditioned environment ni mahala popote hiyo kitu inafanyika , unafikiri wakati CIA wanawatengeneza wauaji kama Timothy McVeigh walikuwa wamewafungia maabara ?
Halafu Unaongea as if hizo projects zimeisha wakati intelligence agencies huko unakodhaniwa wanafuata sheria bado wanazifanya mpaka leo na ushenzi ni ule ule
We unasema suala la haki , haki UK ?
UK hawa wanafiki walioshindwa kuensure haki ya Julian Assange mpaka leo wamemweka korokoroni na kushindwa kumfungulia mashitaka kwa kuwaexpose ushenzi wao kupitia wikileaks ?
Have some shame
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Ubalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akiliUbalozini ulienda kama haujaenda njoo pm nikupe number za balozi au mtu anaye weza kukusaidia tatizo lako
Usisingizie ugonjwa wa akili. Maisha yamekushinda huko sasa unatafuta gia ya kuwa repatriated hadi bongo na nguo ulizovaa tu. Ulienda huko ukiwa na akili timamu na ukoo wenu wote walikusindikiza DSM airport huku ukiwa na ambitions za kurudi nyumbani na Range Rover Vogue na kumiliki villa yenye swimming pool mitaa ya Mbweni. Ndugu, jamaa na marafiki hawatakuelewa mkuuUbalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akili
Mkuu,Mkuu Nunua Toka UK , nimesoma uzi wako ule wa mwanzo. Kwamba issue yako hii ilianzaga by 'BULLYING' uloiexperience mahala pako pa kazi, na pia ulikuwa unaishi na west Africans kwenye shared accommodation.
Naomba kuuliza...
1. Umeshajaribu kubadili/kuhama makazi?
2. Umeshajaribu kubadili/ku-abandon all electronic devices unazotumia? (companion & in-house)
3. Umeshajaribu kufanyiwa 'Microchip detection' kwenye mwili wako?
-Kaveli-
Mkuu, Hii issue kilichokua kina nipa shida kuliongelea miaka ya nyuma ni kuonekana kichaa. SikulaumuOndoka kwenye Matrix
Mkuu, suluhu ya tatizo langu ni kurudi Bongo.Can someone try to reach out? Labda mtu ana matatizo kweli.
Mkuu pia jaribu kuGoogle Schizotypal Personality Disorder labda inaweza kukusaidia.Mkuu, Hii issue kilichokua kina nipa shida kuliongelea miaka ya nyuma ni kuonekana kichaa. Sikulaumu