Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 265
- 540
Ninaondoka siku za karibuniUnamkataba napo ulo UK.....au uku ndo bongo nyoso
Ee bora uondokeNinaondoka siku za karibuni
Ukija huku ndio utaokota na kopo barabarani, nenda hospitali ukaangaliwe afya ya akili.Ninaondoka siku za karibuni
We Mama kumbe unaongea kimarekani?niggah you are seriously sick, thats depression
Hii issue imekuwa ngumu kwangu kwa sababu hao Polisi ndio wahusika na organisations nyingine. Hii issue kama ingekuwa kwa watuKuna watu walikushauri uende polisi, ulienda? Ikawaje?
Famya urudi kwenu
Nimeshaena ubalozi na jumatatu au jumanne nina wezaAiseee, pole sana. Ni kitu hasa kinakufanya uendelee kubaki hapo while Tanzania waweza kuishi kwa furaha na amani tele?
Wewe wametengeneza nadhani mpaka apps. Lakini kwa sababu nina fuatiliwa sana na watu wanakataa kuniambia. Wanasema hawa juiniggah you are seriously sick, thats depression
Kina nani haoWao ndio wamejiminisha mimi ni shetani. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine na maumivu ya kichwa na pata vile vile.
jamaa naona anatuchanganyaUK ukimaanisha Ukonga au?
Hizo waves zinatumwaje kwako mkuu? Au unamaanisha huko nako kuna sangoma waliokubuhu?Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK.
Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK)
Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp needle pain. Hii baadae imekuja kuwa worse. Zina sababisha fuvu la kichwa kinauma na inabidi nitumie dawa za maumivu.
They are enjoying torture me. Mapaka nimeishia kulala kıla sehemu.
Nina hasira sana na hii.
MOD naomba msifute huu uzi