Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Ubalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akili
Embu njoo pm nikusaidie ndugu
 

Hiyo inaweza ikawa kweli kwa kiasi fulani, hiyo ya kujijali ni human nature and behaviour. Sema wenzetu wamefauli (especially westernworld) kudhibiti tabia za mtu mmoja mmoja au kikundi kwa kuweka sheria ambazo lazima zifuatwe. Matokeo yake tabia zikawa kwenye mstari mmoja.
Hilo la mtu mmoja kuharibu au kutia hasara kizazi baada ya kizazi, linafikirisha sana.
 
Ukija huku ndio utaokota na kopo barabarani, nenda hospitali ukaangaliwe afya ya akili.
Kuokota makopo ni title sasa hivi ni ajira mkuu, usikariri maisha.
Tafuta neno mbadala la hao 'wendawazimu' pamoja na wehu.
 
Since you happen to be aware of your own mental health challenges, then why the heck aren't you seeking professional help but instead going around venting about it on a public forum? What's the point?
 
Since you happen to be aware of your own mental health challenges, then why the heck aren't you seeking professional help but instead going around venting about it on a public forum? What's the point?
Could you please point out where I mentioned my mental health in the quoted post? I am unable to find the specific reference.
 
Kama wamekufanya sample wangekupaje ruksa utoke eneo la mbali?

Nafikiri wangegoma sababu ukirudi bongo mionzi haitafika.
 
Ukikaribia kufa tutumie picha ili ukifa tukupost mwanetu
 
wewe mtoa mada umeona jinsi wabongo walivyokuwa wajinga ni wengi na umewakamata hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…