Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Nipo Mwanza mkolani
Mkolani sehemu gani nije nikulishe steel wool iliyosagwa vizuri😍Nipo Mwanza mkolani
Acha watape tape
Hakuna haja ya kutembea mbele, n mwendo wa 🔫 za kichwaHuwezi kufanya vita dhidi ya ulipotokea ukashinda.
Kaeni kwa akili tu. Ukihisi dalili mbaya tembea mbele ikiwa unajijua wewe dhaifu huna uvumilivu.
Mbaya sanaHuwezi kufanya vita dhidi ya ulipotokea ukashinda.
Kaeni kwa akili tu. Ukihisi dalili mbaya tembea mbele ikiwa unajijua wewe dhaifu huna uvumilivu.
Hatari sanaMbona wamekuwa wakifanya hivyo miaka nenda Rudi kitu pekee watu wanaweza kuwa hawajui ni kwamba
Wanawake wameua wanaume wengi zaidi kuliko wanaume walivyoua wanawake
mchumba wako si ni mmachame au?Bora mi mchumba wangu Jihan dimack hawazi upumbavu huo.