Wanasema wakitaka muda wowote wanatuua kwa kutulisha steel wire....

Wanasema wakitaka muda wowote wanatuua kwa kutulisha steel wire....

Kuna namna nyingi tu za kuwamaliza bila kujulikana, ni ile huruma tu za kike na watoto inafanya tuwaangalie tu km wajinga,

Mafuta
Sukari
Pombe
Vyakula, hivyo vyote ukichanganya na kitu kidogo tu ndani ya miezi kadhaa unahamia hospital
😹😹😹😹
 
Wanawake wameua wanaume wengi zaidi kuliko wanaume walivyoua wanawake
Utasikia tu Marehemu anapewa kashfa kua amejiua kisa mkewe amemnyima uchi kumbe wangeujua ukweli wangekaa kimya mwanamke anakuua halafu alivyo wa ajabu kwenye ule msafara wa kulia yeye ndio analia mpaka makamasi yanamtoka anagalagala chini anaoga mavumbi utafikiri yeye ndio ana uchungu sana wa kufiwa kumbe yeye ndio kaua mumewe, ogopa sana
 
Ndoa za nini kama suluhisho mnaona ni kuuana! Hebu kila mtu afanye mambo yake mambo ya ndoa yafe
 
Back
Top Bottom