No.mchumba wako si ni mmachame au?
Bro steel wire ni noma....bora risasi paaaa imeisha kuliko kuteseka na ugonjwa huonekaniWatu hawaogopi risasi......wewe steel wire tu ushaanza kutia huruma?!! Kaza bro kaza
Kwahiyo mnaogopa??? Tuendelee kuwa watulivu huku mkisoma maandikoBro steel wire ni noma....bora risasi paaaa imeisha kuliko kuteseka na ugonjwa huonekani
Wanatamba Sana Na hii point, Sasa tumalize mchezo ikitokea nikafa Leo kifo cha kutatanisha suspect wa Kwanza Ni mke wangu au mpenzi wangu....
Kisha unaenda kuwa mke wa mtu jela unapakatwa na mnyapala au siyo?Hakuna haja ya kutembea mbele, n mwendo wa 🔫 za kichwa
Hv n kwann hii ishu hua ipo kichwan kwa Wabongo wengi?Kisha unaenda kuwa mke wa mtu jela unapakatwa na mnyapala au siyo?
Huo utani tu.Hv n kwann hii ishu hua ipo kichwan kwa Wabongo wengi?
Sio rahisi mzee wanguUkiona mkeo anazingua unatembea zako unamuacha. Maisha baada ya hapo yanaweza kuwa bora na mazuri zaidi.
Kwa wanawake pia inawausu wasiuwe.
Peace be upon you, brother.Sio rahisi mzee wangu
Kuna watu wakipenda wanapenda kweli hawaoni wala hawasikii, ndo ukija kumzingua anaamua n bora wote mkose, mm n mmoja wa wenye hii imani
Wenyewe wamegoma kujipumzishawapumzisheni wachaga jamani, mambo hayo hutegemea mtu na mtu.
Hao wanaopenda sana ni wagonjwa wa akiliSio rahisi mzee wangu
Kuna watu wakipenda wanapenda kweli hawaoni wala hawasikii, ndo ukija kumzingua anaamua n bora wote mkose, mm n mmoja wa wenye hii imani
Unaweza ukasepa zako maisha yakaenda kuwa bora zaidi.. mali na mbunye vyote vinatafutwa.. NOTED BROTHERHuo utani tu.
Ujumbe hapo ukiuwa mkeo unaishia jela utafungwa au utanyongwa.
Huku mtaani utaacha mali zako, uhuru wako, wanawake wengine warembo kuliko mkeo, n.k.
Yote hiyo ya nini?
Mali au mbunye?
Vyote hivi vinatafutwa tena unavipata.
Ukiona mkeo anazingua unatembea zako unamuacha. Maisha baada ya hapo yanaweza kuwa bora na mazuri zaidi.
Kwa wanawake pia inawausu wasiuwe.
Ukiwa malaya huwez kuelewa hizi ishu za kupendaHao wanaopenda sana ni wagonjwa wa akili