Wanasemaga mume wangu hata akienda mbali kutafuta kwa miezi kadhaa hakuna shida ni waongo.

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe mbali huwa anajihisi unyonge sana.Elewa hakuna mwanamke anaridhika mwenza wake awe mbali.Ktk kumudu mazingira ya kuwa mbali bila shida mwaaume hapo anaweza.
 
Hivyo Leejay49 kumbe ulinidanganya!, kumbe hamuwezi!...😅
 
Kwa hiyo tuache kwenda mbali kutafu au twende nao
 
Back
Top Bottom