RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
"Nilidhani anaweza kuishi bila mimi coz ana vihela vya mbogo,nilivyoenda Kwa mwezi nilirudi nikakuta wote wanaumwa na Bundi wamejaa tele usiku wakilia,na mauza uza juu anmbayo nilisimuliwa nikashangaa,sijui ni viumbe Gani alikua anajamiiana navyo usiku Hadi vichungulie dirishani usiku na macho take yakiwaka!!?Nilimsikia jamaa bila kuamini!!