Hivyo Leejay49 kumbe ulinidanganya!, kumbe hamuwezi!...😅Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe mbali huwa anajihisi unyonge sana.Elewa hakuna mwanamke anaridhika mwenza wake awe mbali.Ktk kumudu mazingira ya kuwa mbali bila shida mwaaume hapo anaweza.
Masomo na kazi mkuu.Kwanza kwanini muishi mbalimbali wanandoa
Kwanza kwanini muishi mbalimbali wanandoa
Kaaazi kwelikweli,.Ajira mkuu.
Haaa akikujibu unitagNipo Mbozi mke yupo Kilosa nimemtumia huu uzi na yeye auone.
Hatari tunashiba mahaba😄Kumbatianeni mtakula Hilo joto
Na watapata maendeleo mkijifunika shuka mojaKumbatianeni mtakula Hilo joto
Hahahaha mimi selewii mkuu 😂Na watapata maendeleo mkijifunika shuka moja
Ntumie location niwaletee ungaHatari tunashiba mahaba😄