RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Msamalia mwema anataka kutuletea unga c tuendelee na show😄Ntumie location niwaletee unga
Takataka wakati uhalisia.Hii ndio JamiiAfrica. Kila thread takataka tupu
Usiwaze mapenzi kwenye utafutaji.Kwa hiyo tuache kwenda mbali kutafu au twende nao
Kwa nini umeandika kama unaongea?Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe mbali huwa anajihisi unyonge sana.Elewa hakuna mwanamke anaridhika mwenza wake awe mbali.Ktk kumudu mazingira ya kuwa mbali bila shida mwaaume hapo anaweza.
Nyie kumbatianeni nakuja na madikodikoMsamalia mwema anataka kutuletea unga c tuendelee na show😄
Ulitakaje?Kwa nini umeandika kama unaongea?
Wewe unaonaje?Ulitakaje?