Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

we mbona kichwani kumejaa mavi, au hata husikii harufu?
sasa umeona akili zako zilivo mbovu 😂 we unewai ona mavi yako yapo kichwani 😂 uhalisia ni kwamba bichwa lako limejaa makamasi kaka 😂 na jina lako kama mganga wa kienyeji
 
Yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Uhaini upi uliofanyika ?
 
Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
Kutegemea na unyeti wa kesi yenyewe inaweza hata ukachukua muda. Hii ni kesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa.
 
subiri mahakama ifanye kazi yake we kenge
Mahakama ipi wakati ninyi mmeshatoa hukumu! Unapokosa utu na kumfananisha binadamu na kenge hasa usiyemfahamu, Jamii haikushangai pale unapopoka haki asili ya mtu kutaminiwa utu, ubinadamu na uhai wake! Utawafurahisha watawala lakini hutomfurahisha Mungu usiyemjua! Adios
 
Kutegemea na unyeti wa kesi yenyewe inaweza hata ukachukua muda. Hii ni kesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa.
Kinachofanyika Hapa ni delay tactic muda wa rufaa upite, huku wakendelea na uchunguzi ilihali wanajua hakuna wanachochunguza baada ya hapo kama kawaida waseme hawana Nia ya kuendelea na shauri kwani wao wana Kinga ya kutoshtakiwa deal done!
Matendo yao hayawezi kuzima kinachoendelea yamkini Yanachochea.

Maeneo mengi duniani matendo ya kukandamiza sauti yaliongeza sauti zaidi! Wakati ni muda. Hii imeshaanza kutia doa Taifa kimataifa!
 
7B6936DD-DE55-4FE0-9064-9E95FDE5CE93.jpeg



Ukikamatwa Tanzania kama inaruhusiwa bora ujitete mwenyewe kuliko ulipie mwanasheria wengi vihiyo.

Sheria inasema kwa kesi zisizo na possibility ya death penalty ndio within 24 unatakiwa kuwa umeachiwa au kupelekwa mahakamani kusomewa mashtaka.

Lakini hakuna muda kwa kesi ambazo unaweza kupewa death penalty, uhaini ina adhabu hizo.

Now sisemi Dr Slaa na wenzake wapewe adhabu ya kifo ata wakikutwa na hatia; ni machizi tu wa kusumbuliwa watie adabu kidogo akili zao zikae sawa.
 
Tanganyika nchi ya mamako? kahamie huko Tanganyika we ngedere nchi yetu inaitwa Tanzania
Tanzania ni zao la Nchi mbili huru zilizoungana yaani Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar.
Usifishe historia, kama hakuna Tanganyika wasilisha petition tuiondoe sikukuu ya Uhuru na Ile ya Jamhuri pamona na siku ya Muungano,
Kama hakuna Tanganyika waambieni wazinzibari wasiimbe wimbo wao Wa taifa na waimbe wimbo wa Mungu ibariki Africa,
Kama hakuna Tanganyika waambieni wazazanzibari wasiwe na Radio yao ya Taifa, na Kama hakuna Tanganyika
 
Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ni rahisi kwa dola kushtaki watu kwa uhaini uwepo, usiwepo. Hata Mandela alikamatwa na serikali akahukumiwa na mahakama kwa uhaini.
Nyerere pia alihukumiwa kwa uchochezi kama serikali ya kikoloni ilivotaka.
Muhimili uliojichimbia zaidi eti...
 
mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingiee
pointless
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.

Usiondoke JF.
Hata wapotezwe mimi naona sawa tu kwani kutamba kwote huko hawakujua kuwa shingo haipiti kichwa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
uchunguzi haujakamilika usiwafundishe polisi kazi yao
  • kama uchunguzi haujakamilika kwa Nini wakamate?
  • sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inasema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24
  • hata kama uchunguzi haujakamilika kweli, Police kwa kushirikiana na DPP walitakuwa wampeleke mahakamani then apelekwe mahabusu ya Magereza
 
Back
Top Bottom