Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

wangepindua nchi ungefurahi?
hizi akili mtu mweusi unazitoa wapi mbona kama kichwani kumejaa kamasi mtu anapinduaje nchi tena mtu mmoja hana hata support ya kijeshi.Au unafikir kupindua nchi ni sawa na kugeuza upande wa kitanda chako ..? piga chafya nyingi utoe kamasi huenda ukapata akili kidogo …
 
wangepindua nchi ungefurahi?
Wanaopindua nchi huwa wanasema hadharani? Nyie semeni tu kuwa mmeamua kuwakomoa watu walioamua kuwastua watanzania kuhusu kuuzwa kwa mali zao. Hivyo sasa hivi mnaleta tafsiri Potofu ili kunyamazisha watu kuhoji huo wizi.
 
Mahakamani watapelekwa tu wala hamna shida mjiandae tu kuangalia familia zao.
 
Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
Muhimu sana hii
 
Mahakamani watapelekwa tu wala hamna shida mjiandae tu kuangalia familia zao.
Mtashindwa mapema sana mchana , mmemwingiza mama chaka ili 2025 muweke watu wenu , maana atakuwa kishalikoga tope
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.

Usiondoke JF.
hao wapumbavu hawana kazi ya maana,
 
Kuifungukia Kesi Serikali mahakamani kiuraratibu kabisa na yenyewe ikaja na ikajibu hoja ni uhaini! Unajua maana ya uhaini au na wewe fuvu liko tupu!
Unaweza kuimbia JF uhaini ulifanyika wapi na Kwa mchakato upi? Na nani sasa anashikilia madaraka ya nchi baada ya uhaini huo kufanyika? Mkiambiwa ninyi ndio mnaitangaza nchi vibaya huko duniani mnaanza kushika bunduki? Ujinga mtaacha lini
subiri mahakama ifanye kazi yake we kenge
 
Mkataba huu wa Kimangungo unasema, Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai, Tena kwa Mali zake? Ujinga huu wa CCM ifie mbali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
rudi shule we zuzu, we kwanza huwezi hata kusoma ule mkataba unafuata tu mkumbo km nyumbu. mburula tu wewe
 
hizi akili mtu mweusi unazitoa wapi mbona kama kichwani kumejaa kamasi mtu anapinduaje nchi tena mtu mmoja hana hata support ya kijeshi.Au unafikir kupindua nchi ni sawa na kugeuza upande wa kitanda chako ..? piga chafya nyingi utoe kamasi huenda ukapata akili kidogo …
we mbona kichwani kumejaa mavi, au hata husikii harufu?
 
Sesan haujakamilika usiwafundishe p-olisi kazi yaoy
  • usichanganye kati ya uchunguzi na kupelekwa mahakamani,
  • sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ndio maana Imesema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana
 
Back
Top Bottom