Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

Hebu tusaidie ya aendeshwaje mkuu au tuna sheria nyingine na katiba nyingine tofauti na hii tuliyoizoea?
Ili tunapojua tuwatahadharishe wasiangukie pua! Ila kuiaacha abstract namna hii unadhihirisha umaamuma wako, sababu huoneshi ujuvi wa Sheria ila unawakosoa wanasheria! Tuna kizazi Cha hovyo sana Tanzania Kwa sasa
Makosa mengine yanahitaji kufinyana kidogo ili kuweza kuufikia mzizi wa tatizo. Haya mambo ya nchi nyie madogo hamuwezi kuyaelewa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
wakati wanafanya makosa walikuwa wanategemea huruma ya nani? watu wanakaa mwezi wewe umeona siku mbili tu ni nyingiiiiiiiiiiiiii wacha wasote kwanza ili hata wakija kutoka watulie wajue nchi ina sherai na ina mamlaka wacha kwanza wabashiweee humo ndani kama mwambukusi watam,,,,,,,, na mzee wa watu hajawahi hata kul mdude kazoea
Kutetea mali za nchi ni makosa ?
 
Ninaposema machafuko au mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya mifumo tena, huwa sikosea. Kwa hapa tulipofikia ambapo viongozi wanaweza kuingia madarakani kwa kupora chaguzi, usitegemee sheria kufuatwa kabisa. Nyingi ya sheria zitakuwa zinatekelezwa kulinda maslahi ya hivyo vikundi vinavyoingia madarakani kwa kupora chaguzi.
 
yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Screenshot_20230816-130532.jpg

Afu uzuri neno hilo hilo limetoka uko uko uarabuni
 
yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Wataachiliwa wakati ushahidi mnao!
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.

Usiondoke JF.
Sijawahi ona hata siku moja hayo makundi ya wanasheriasa wakishinda kesi zao huwa wanakurupuka kama hao wanaotetewa!
 
Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
Serikali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi, huwa haziogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma tu. Maswali ya aina hiyo usishangae maji akisema hayana mashiko.
 
Sijawahi ona hata siku moja hayo makundi ya wanasheriasa wakishinda kesi zao huwa wanakurupuka kama hao wanaotetewa!
Kwa mahakama hizi zinazopigiwa simu moja, usitegemee hao wanasheria wakishinda. Labda waende mahakama za nje mfano, east Africa, kimataifa nk. Na mara zote kwenye hizo mahakama zisizo sehemu ya mifumo michafu, serikali huwa haishindi.
 
yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Umesema kweli.
 
  • tumia akili kufikiri
  • nchi hii inaongozwa na sheria sio utashi wa mtu binafsi
-sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inasema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa Lina dhamana, hiyo siyo hiyari ya police ni takwa la sheria
Hao waliotaka kuvunja amani,hawakujua kama nchi inaongozwa na sheria.Acheni kulia kulia.
 
Back
Top Bottom