Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we c unajua tukutane mahakamaniHao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
-wanaonewa kwa sababu Sheria hairuhusu kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa Lina dhamana.Kwa mjadala huu unafikiri wanaonewa?View attachment 2718838
Kuifungukia Kesi Serikali mahakamani kiuraratibu kabisa na yenyewe ikaja na ikajibu hoja ni uhaini! Unajua maana ya uhaini au na wewe fuvu liko tupu!yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
acha ufala uhaini unatafsiriwa mahakamani siyo kituo cha polisi, kwahiyo mnataka kuwatesa kwanzayaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
- hata kama umetenda tuhuma za aina gani, haki zako kisheria zipo pale pale,Haki inaenda sambamba na wajibu.
Treatment ya mtuhumiwa itaendana na aina ya tuhuma alizonazo (real life).
Na sheria inakataa kuwatesa watuhumiwa ili wakiri makosa yaoacha ufala uhani unatafsiriwa mahakamani siyo kituo cha polisi, kwahiyo mnataka kuwatesa kwanza
nasikia ana pressure na kisukari na umri umeenda, wawe makini wasije wakamsababishia matatizo ya kiafya. jambo hili ni la kwenda nalo polepole. na kama mtu amekosea, tusameheane tuendelee kujadiliana kwa hoja, ukipeleka mtu mahakamani jueni kuna kundi kubwa la watu nyuma wanamsapoti na ni kama kujipalia makaa kwasababu watu ndivyo wanavyozidi kuichukia serikali ya samia.
PGO inaenda kuwaumbua jamaaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.
Usiondoke JF.
Kwa mahakama hizi zinazosimamia mifumo ya kihalifu, usitegemee lolote la maana toka kwao. Mahakama hizi hutumika kulinda uovu wa wazi huku ushahidi wa uongo toka serikalini ukilindwa waziwazi.Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
shida yenu mmejaa upumbavu na kiburi, na mwisho wenu siku zote huwa sio mzuri, wanadamu tukishindwa huwa tunashitaki kwa Mungu mbabe wenu. tumieni akili msitumie makalio.Inasikitisha hii statement imetoka kwa mwanamume tena mtu mzima anaetegemewa kuongoza family na wategemezi nyuma yake.
Kuongoza nchi sio Sawa na kusimamia kikao cha sendoff!
Tayari wameshakuwa wahaini hata kabla hawajafika mahakama I? Siku hizi hukumu zinatolewa polisi? Ndugu zangu hebu punguzeni chuki basi!
Nimejiunga na kifurushi kabisa. Saa ya ukombozi ni sasaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.
Usiondoke JF.
kujipa moyo tu, na ni vizuri pia. Nachokiona kikubwa ni kutaka kuskika, kujulikana na kutafuta ucjali kwenye siasa na uanaharakati and nothing else.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.
Usiondoke JF.
Amen
Makosa mengine yanahitaji kufinyana kidogo ili kuweza kuufikia mzizi wa tatizo. Haya mambo ya nchi nyie madogo hamuwezi kuyaelewa.-ww ndiye mbumbumbu number 1.
- Sheria imesema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24, ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa Lina dhamana
Makosa mengine yanahitaji kufinyana kidogo ili kuweza kuufikia mzizi wa tatizo. Haya mambo ya nchi nyie madogo hamuwezi kuyaelewa.we c unajua tukutane mahakamani