brawnchric
Member
- Jun 29, 2016
- 19
- 28
sasa umeona akili zako zilivo mbovu π we unewai ona mavi yako yapo kichwani π uhalisia ni kwamba bichwa lako limejaa makamasi kaka π na jina lako kama mganga wa kienyejiwe mbona kichwani kumejaa mavi, au hata husikii harufu?
Uhaini upi uliofanyika ?Yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Kutegemea na unyeti wa kesi yenyewe inaweza hata ukachukua muda. Hii ni kesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa.Safi sana, natamani wakati wa maswali ya dodoso waulizwe Swali kwamba ni sahihi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24?, Na je ni sahihi kumnyima mtuhumiwa haki ya kuonana na ndugu zake/wakili wake?
Jpm aliemtwanga risasi tundu lisu.JPM, huko uliko tupia macho duniani, omba kwa Muumba ili akutume uingilie Kati.
Mahakama ipi wakati ninyi mmeshatoa hukumu! Unapokosa utu na kumfananisha binadamu na kenge hasa usiyemfahamu, Jamii haikushangai pale unapopoka haki asili ya mtu kutaminiwa utu, ubinadamu na uhai wake! Utawafurahisha watawala lakini hutomfurahisha Mungu usiyemjua! Adiossubiri mahakama ifanye kazi yake we kenge
Kinachofanyika Hapa ni delay tactic muda wa rufaa upite, huku wakendelea na uchunguzi ilihali wanajua hakuna wanachochunguza baada ya hapo kama kawaida waseme hawana Nia ya kuendelea na shauri kwani wao wana Kinga ya kutoshtakiwa deal done!Kutegemea na unyeti wa kesi yenyewe inaweza hata ukachukua muda. Hii ni kesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa.
Tanzania ni zao la Nchi mbili huru zilizoungana yaani Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar.Tanganyika nchi ya mamako? kahamie huko Tanganyika we ngedere nchi yetu inaitwa Tanzania
Ni rahisi kwa dola kushtaki watu kwa uhaini uwepo, usiwepo. Hata Mandela alikamatwa na serikali akahukumiwa na mahakama kwa uhaini.Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
pointlessmmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingiee
Hata wapotezwe mimi naona sawa tu kwani kutamba kwote huko hawakujua kuwa shingo haipiti kichwaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.
Usiondoke JF.
Ndio taarifa zilizozagaa mitaaniLutawala huu hpn ,Kuna kila dalili mtu anatengenezewa ajali ya kisiasa
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria gani?Kutegemea na unyeti wa kesi yenyewe inaweza hata ukachukua muda. Hii ni kesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa.
uchunguzi haujakamilika usiwafundishe polisi kazi yao