Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Wanasheria msaada tutani,

Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo
Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu?

Msaada wazee najua nyie sio wakali kama yeye ila nawaamini
 
mkuu usijisahaulishe kuhusu mfumo wetu wa mahakama na aina ya majaji wetu tulionao..hata pale unaona kabisa haki hii hapa lakini mambo yatapinduka watakushangaza hutaamini kwani kuna haki na matakwa ya watawala nini wanataka.! hawa sio wa kuwaamini kihivyo simu moja tu inabadili kila kitu
 
Wanasheria msaada tutani,

Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo
Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu?

Msaada wazee najua nyie sio wakali kama yeye ila nawaamini

Hukuyaona Nepali?

Utawala wa haki unapokosekana, roho za chuki na visasi hutawala kama tulivyoona kule Nepal

Kwamba Kuna hatari ya jela? Haki ipi kumbe aipate Lissu au nani tokea kwa walamba asali?
 
Wanasheria msaada tutani,

Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo
Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu?

Msaada wazee najua nyie sio wakali kama yeye ila nawaamini
Uzi mzuri huu ngoja wanaoju sheri waje nisije andika hapo kitu ambacho sicho
 
Asante kwa kutusanua. Basi usijali mabalozi wote tutakuwepo. Tutamshika mkono na kumuingiza kwenye dinga ya balozi wa ujerumani. Hakuna atakayemgusa kuwa na amani
 
Back
Top Bottom