Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili.

Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti.

Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili unachukua siku 7 na muda wa application utakuwa umepita. Sasa ndio nauliza kama nitapeleka hiyo deed poll kabla ya kuisajili je kisheria inakubalika?
 
Back
Top Bottom