Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
viorodhesheVyama na taasisi zenye jina la Tanganyika viko vingi tu.
yap,ndio hawahawa ambao Tundu Lisu alishawahi kuwa Rais wetu pia.Wanasheria hawa hawa ambao rais wao alikuwa dr Hosea.
😲Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
Hilo jina la chama chenu lenye neno Tanganyika ni sawa tu na neno Tume huru hii iliyobadilishwa jinaHivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
viorodheshe
Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.