Wanasheria nchi hii wana akili sana!

Wanasheria nchi hii wana akili sana!

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
 
Hilo jina la chama chenu lenye neno Tanganyika ni sawa tu na neno Tume huru hii iliyobadilishwa jina
 
viorodheshe

1. Tanganyika Law Society (TLS).

2. Tanganyika African National Union (TANU).

3. Tanganyika Farmers Association (TFA).

4. Tanganyika Library Services.

5.Tanganyika Instant Coffee Company Limited (TANICA).

6. Tanganyika Oil Company.
 
Tumieni usomi wenu Tanganyika irudi, kutumia jina tu wakati Tanganyika haipo haina maana yoyote.

Back
Top Bottom