Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo jinga weye jitambue weye!Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka
Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.
Nawasilisha
Mkuu, mimi ni Mwanasheria. Bila kumung'unya maneno naomba nikwambie tu ukweli kwamba huna haki yoyote juu ya mali ya/za wazazi wako.Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka
Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.
Nawasilisha
Kama hataki kutafuta Mali zake aje huku Mombasa tutampa atakacho for free kijana wa miaka 42.Chief tafuta mali zako acha utoto.
Mada zako zote humu JF unalalamika kuhusu Baba yako kuuza nyumba zake. Halafu wewe umri wako ni miaka 42 ila unadai wewe bado mdogo. Hebu sema ukweli, je hadi leo huna mke na watoto wako au bado upo tegemezi? Kubwa zima unalilia mali ya babako? Tafuta vyako vinginevyo mtatoana roho kwa mali isiyokuwa yako.Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka
Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.
Nawasilisha
Unapo toka povu kumbuka huyo ninbaba yake mzazi ambaye ana jukumu la kuhakikisha mtoto wake anaishi katika mazingira mazuri wakati wote pasipo kujali umri,Aisee umenishangaza sana, yaani 42yrs Graduate bila aibu bado unaishi kwa baba yako? Na huyo baba yako anauza mali kwa sababu ya tabia yako ya kudai mali ambayo hujaitolea jasho,
Tafuta shughuli ya kufanya achana na Baba yako na mali zake.
Ana hiari kukupa urithi. 42 yrs kakuvumilia sana.Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka
Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.
Nawasilisha
Punguani wewe,si utafute za kwako??? Mwanaume mzm umekalisha wowowo kwa baba yako inasubiri urithi,we wanao utawarithisha nn ukiwa umri huo inakaa kwa baba yako????Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.