Wanasheria nisaidieni niweze kumpata mwanangu

Huyo mtoto ana umri gani?
Maana kuna umri ambao mtoto anatakiwa kuwa chini ya malezi ya mama.
Wanawake wengi wasomi huwa na kiburi kwa sababu wana uhakika wa kumlea mtoto kutokana na kuwa na ajira. Cha kufanya weka mapenzi kwa mtoto,muhudumie bila kujali ajira ya mama yake.Itafika kipindi mtoto atakuwa anakufuata.Usijenge uadui na mama yake kwani itakuwa rahisi kwa mama (asiye na akili) kuhamisha huo uadui kwa mtoto na hasa akiwa chini ya mama yake.
Play smart
Umri miaka 5 na nusu
 
Chukulia tartibu hayo mambo.Kama huyo mama wa mtoto ni Muislam then wewe huna mamlaka yoyote na huyo mtoto utabakia kuwa Biological farther only
 
Kaka unaweza tu mchukua mtoto end app umenotice kuwa mamaake anashindwa kumhudumia mtoto...kwa ulevi, uzinzi na mengineyo...nje ya hiva sharia ya ya mtoto 2009 inamtamka mama kuwa custodian wa mtoto mwaka finished miaka Saba ama Kumi na mbili ....ila sheria inataka mama amruhusu bana kujua mtoto anapoishi, u huru wa kumtembelea na kumhudumia.
 
Kwahyo nimwachee huko huko ?
Yes & No. Inategemea upi ni ustawi wa mtoto. Ubinafsi usiwafanye mkamharibia mtoto future. Ikiwa hakuna sababu ya kumtenga na mama yake, na akae na mama. Ikiwa mama ni kichwa kibovu kiasi unahisi atamharibu na ushahidi unao...nenda ustawi wa jamii, anzia hapo.

Lakini ukienda huko, usiende na statement za 'mtoto wangu'. Utaonekana u mkorofi. Ni MTOTO WENU. Jambo la pili kuwa makini na wanawake, nahisi hata Ibilisi mwenyewe ni SHE
 
Ndugu wanaJF ilitokea katika makuzi yangu nikampa binti mimba nilikuwa na mahusiano mazuri tuu na yeye na nilimgharamia sehemu fulani ya masomo ingawa kwa kiasi kidogo sababu sikuwa na pesa za kutosha.

Ana miaka miwili toka amalize chuo, amebadilika na hataki tena mahusiano na mimi. Sasa mimi namtaka mwanangu anadai hanipi mtoto.

Hebu nisaidieni nianzie wapi nimpate baby wangu.
Ulikuw unahudumia?
 
Naona kama vile unataka kudai haki kama vile mama naye hana haki ya kuwa na mtoto. Mtoto ni wenu nyote kama wazazi na kila mtu ana haki sawa.
Pili huyo mtoto ana umri gani? maana kuna umri ambao mtoto anatakiwa awe chini ya malezi ya mama
Tatu je uwezo wako ukoje wa kumtunza mtoto huyo endapo utamchukua kwa mama
Nne unapeleka matumizi ya mtoto au umemterekeza kwa mama anamtunza peke yake.
Naona niachie hapo mpaka nipate majibu
 
Miaka 5.5 uwezo upo wa mtoto kumlea na kumsomeshaa shule nzur pasipo shakaa.
 
Huyo mtoto ana umri gani?
Maana kuna umri ambao mtoto anatakiwa kuwa chini ya malezi ya mama.
Wanawake wengi wasomi huwa na kiburi kwa sababu wana uhakika wa kumlea mtoto kutokana na kuwa na ajira. Cha kufanya weka mapenzi kwa mtoto,muhudumie bila kujali ajira ya mama yake.Itafika kipindi mtoto atakuwa anakufuata.Usijenge uadui na mama yake kwani itakuwa rahisi kwa mama (asiye na akili) kuhamisha huo uadui kwa mtoto na hasa akiwa chini ya mama yake.
Play smart
This is good. Nimeitumia mm hii imenisaidia sana. Kwa saasa watoto ninao, wanasoma Boarding, siku tukitaka kwenda kuwasalimia tunapigiana cm tunashikana mikono tukitoka tkt mazingira ya shule kila mtu anaelekea kwake.
Amani imetawala fulu
 
Yes & No. Inategemea upi ni ustawi wa mtoto. Ubinafsi usiwafanye mkamharibia mtoto future. Ikiwa hakuna sababu ya kumtenga na mama yake, na akae na mama. Ikiwa mama ni kichwa kibovu kiasi unahisi atamharibu na ushahidi unao...nenda ustawi wa jamii, anzia hapo.

Lakini ukienda huko, usiende na statement za 'mtoto wangu'. Utaonekana u mkorofi. Ni MTOTO WENU. Jambo la pili kuwa makini na wanawake, nahisi hata Ibilisi mwenyewe ni SHE
Ahsante mkuu nahc hata sheria inawabeba sanaa kila kitu wanahc wanaonewaa
 
Kaka unaweza tu mchukua mtoto end app umenotice kuwa mamaake anashindwa kumhudumia mtoto...kwa ulevi, uzinzi na mengineyo...nje ya hiva sharia ya ya mtoto 2009 inamtamka mama kuwa custodian wa mtoto mwaka finished miaka Saba ama Kumi na mbili ....ila sheria inataka mama amruhusu bana kujua mtoto anapoishi, u huru wa kumtembelea na kumhudumia.
Mmmh hii sheria inabid wafanye amendment
 
Chukulia tartibu hayo mambo.Kama huyo mama wa mtoto ni Muislam then wewe huna mamlaka yoyote na huyo mtoto utabakia kuwa Biological farther only
Mkristu
 
Miaka 5.5 uwezo upo wa mtoto kumlea na kumsomeshaa shule nzur pasipo shakaa.
Mara nyingi sheria hasa mahakama imeelekeza watoto walio chini ya umri wa miaka kumi yaani kuanzia miaka tisa kushuka chini kuishi na mama japo umri halisi ulio katika sheria ya ndoa ni miaka saba kushuka chini. Kuanzia miaka kumi kwenda mbele mtoto anaweza kuchagua aishi na nani kati ya baba au mama. Kwahiyo iwapo mtoto amefikisha umri wa miaka kumi au zaidi basi baba anaweza kumchukua mtoto wake iwapo pia mtoto atapenda kukaa na baba yake. Wapo wazazi ambao wamekuwa wakiwagangania watoto hata baada ya watoto kuvuka umri huo ili waendelee kuwafanya vitega uchumi kupitia kudai matunzo. Hili si sawa hasa iwapo mtoto yuko tayari kukaa na baba yake.
Msimamo huu unaweza kubadilika wewe kama baba utatoa sababu za msingi za kuomba mama asikae na mtoto. Hii haijalishi mtoto ana umri gani iwapo tu una sababu za msingi basi utaomba kukaa na mtoto wakeo Sababu kubwa za kuomba mtoto ni iwapo mama ana ugonjwa wa akili na hivyo kuwa hatari kwa ustawi wa mtoto. Pia iwapo mama anakaa na mtoto katika mazingira hatarishi kama danguro, baa, sehemu za madisco, au mama anajihusisha na vitendo vya ukahaba ambavyo si vyema kabisa kwa makuzi ya mtoto. Hii inajumuisha matendo yote maovu ambayo kukaa na watoto/mtoto yanaweza kuleta athari mbaya kwake na ni hapo baba atakapoomba kuchukua mtoto/watoto na atakubaliwa bila kujali umri wa watoto.

Sasa kwa kesi yake sidhani mama ana vitu hivyo nilivyovielezea hapo juu.

Wapo watu ambao huzuiwa kuwaona watoto. Wengine huruhusiwa lakini kwa masharti maalum na kwa kupewa muda wa kuzungumza. Hii haikubaliki kisheria mzazi anapaswa kuwaona watoto kwa uhuru na bila masharti yanayolenga kumwondolea haki hiyo. Ikiwa mzazi anazuiwa kuwaona watoto/mtoto au anawekewa masharti magumu basi anaweza kudai haki hii kwa kupeleka malalamiko ustawi wa jamiii au mahakamani haraka iwezekanavyo

Nadhani umeleewa kipi unataka sasa katika kudai mtoto
 
Nimeipenda hii Mkuu!

Mimi nimeshaanza kuitumia hii na sasa Weekend au likizo za shule mtoto anakuja kunitembelea....... Final ntamchukua kabisa coz Ilibidi nirudi kule nilipoanzia mwanzo.
Hata uwe umeoa mtoto usimchukue. Ila MPE malezi/Upendo Wa dhati ili akupende. Watoto kwa mama Wa kambo(MKE huyo utakaye muoa ) siku zote hawapendi kabisa hao watoto wasio wao. Labda kama atalelewa na dadaako
 
Kama hujaoa usimchukue mtoto kwenda kumpa tu shida mwache uko tafuta pesa mpleke shule za boarding arudi likizo tu hawa madem waliosoma sheria bana we acha kama anaruhusu kumuona mtoto na mtoto anakujua kuwa ww ndo baba shida nn
Hapo umenena
 
Kk ndo ushaur huuu ?ninyi ndo mnasubr mtu auwe sabb ya kutaka kitu fulan badaye mnaanza kutoka mapovu kumlaumu
Kaomba ushauri wa kisheri huyo ww tulia taaluma za watu hizi. Kuna vitu ni lazima vifafanuliwe vieleweke na ni lazima mwanasheria akusaili kabla ya kukupa ushauri wa kisheria. Kwa maelezo yake hapo yalivyo tu unaweza mpa ushauri upi kisheria?
 
Mara nyingi sheria hasa mahakama imeelekeza watoto walio chini ya umri wa miaka kumi yaani kuanzia miaka tisa kushuka chini kuishi na mama japo umri halisi ulio katika sheria ya ndoa ni miaka saba kushuka chini. Kuanzia miaka kumi kwenda mbele mtoto anaweza kuchagua aishi na nani kati ya baba au mama. Kwahiyo iwapo mtoto amefikisha umri wa miaka kumi au zaidi basi baba anaweza kumchukua mtoto wake iwapo pia mtoto atapenda kukaa na baba yake. Wapo wazazi ambao wamekuwa wakiwagangania watoto hata baada ya watoto kuvuka umri huo ili waendelee kuwafanya vitega uchumi kupitia kudai matunzo. Hili si sawa hasa iwapo mtoto yuko tayari kukaa na baba yake.
Msimamo huu unaweza kubadilika wewe kama baba utatoa sababu za msingi za kuomba mama asikae na mtoto. Hii haijalishi mtoto ana umri gani iwapo tu una sababu za msingi basi utaomba kukaa na mtoto wakeo Sababu kubwa za kuomba mtoto ni iwapo mama ana ugonjwa wa akili na hivyo kuwa hatari kwa ustawi wa mtoto. Pia iwapo mama anakaa na mtoto katika mazingira hatarishi kama danguro, baa, sehemu za madisco, au mama anajihusisha na vitendo vya ukahaba ambavyo si vyema kabisa kwa makuzi ya mtoto. Hii inajumuisha matendo yote maovu ambayo kukaa na watoto/mtoto yanaweza kuleta athari mbaya kwake na ni hapo baba atakapoomba kuchukua mtoto/watoto na atakubaliwa bila kujali umri wa watoto.

Sasa kwa kesi yake sidhani mama ana vitu hivyo nilivyovielezea hapo juu.

Wapo watu ambao huzuiwa kuwaona watoto. Wengine huruhusiwa lakini kwa masharti maalum na kwa kupewa muda wa kuzungumza. Hii haikubaliki kisheria mzazi anapaswa kuwaona watoto kwa uhuru na bila masharti yanayolenga kumwondolea haki hiyo. Ikiwa mzazi anazuiwa kuwaona watoto/mtoto au anawekewa masharti magumu basi anaweza kudai haki hii kwa kupeleka malalamiko ustawi wa jamiii au mahakamani haraka iwezekanavyo

Nadhani umeleewa kipi unataka sasa katika kudai mtoto
Ni miaka 7 (umri wa mtoto kuishi mbali na mama yake kisheria). Hakuna sheria wala mahakama (uamuzi wa mahakama) unaoelekeza iwe miaka 10. Na hiyo si Sheria ya Ndoa, ni Sheria ya Mtoto (1999). Yapo mazingira ambayo baba aweza ruhusiwa kumchukua mtoto katika (kwa amri ya mahakama) ktk umri wowote.
 
Duh pole sana mkuu,,,Tumefanana kidgo japo mm mpka mzaz wa mwanamke aliingilia mm kunyimwa mtoto,lakin nilitumia busara na jeuri kdgo mpka nikafanikiwa,, mama wa mwanamke alinipiga biti na kusumbuliwa na polis kisa walikua wanauwezo,na msichana mwenyewe akaungana na mama yake kunidhulumu,,,nikaona isiwe tabu nikawa nanunua vitu vidogo vya kuchezea mtoto nampa mfanyakaz wao anapeleka wakijua nmenunua mm wanavichoma,kiukwel roho iliniuma sana,,mtoto akaanza chekechea nikawa namvizia kila akitoka shule maana anashusha barabaran msichana wa kaz anamfata na anampeleka home,BA's nikawa namnunulia ice cream kila siku,mpka akanizoea kabsa,bibi yake akiuliza nan kakupa anasema baba angu,,,Kila siku mpka wakamwamisha shule ili nisimwone na walikua wanamwambia maneno mabaya kua baba yako alishakufa na yule anaekununualia ice cream (yaani Mimi) ni mnyonya damu kwa hiyo anapaswa kuniogopa,kiukwel nilipitia magumu sana na vitisho BT mungu ana kuletea jarbu na baadae anakula njia ya kutatua, nikapata hela nyingi tu nikasema sasa ama zao ama zangu,nikaenda kununua kiwanja jiran kbsa na kwao,tulikua tunapishana km nyumba mbili tu Ila ili ufike kwao lazma upite kwangu,nikajenga nyimba nzuri tu,,Nikatulia lakin muda wote napigwa vita kwel kwel,mtoto akazoa kuja kila siku lazma aje maana tuliweka vimichezo vya watoto so ilikua lazma aje kucheza na watot wa majiran,alipofika darasa LA tano mbona wakasalimu amri na kuamua kumwambia ukwel maana Walishindwa kumkatalia tena na mpka Leo yupo form 3 naishi na mwanangu huku dar kirho safi.

Kwa hyo usiwe na haraka,mjengee mwanao ukaribu kabsa na wewe,mjali sana awe rafiki yako nakuambia hata ikipita miaka mingap mtoto atamtafuta baba tu.. Kua mvumilivu na utumie busara sana ndugu ,damu haipotei
 
Back
Top Bottom