Katika hapo naomba kuuliza. Kwa mfano msichana na mvulana wanakutana na katika kufanya mapenzi anampa mimba na kuzaa mtoto mmoja. Wanaendelea anampa tena mimba na kupata mtoto wa pili. Baada ya hapo wanaachana na mama anaangaika na watoto wake bila kupata matumizi toka kwa baba. Watoto wanakua na kusoma kwenye mikono ya mama bila baba kujiangaisha kutoa matumizi.Ni miaka 7 (umri wa mtoto kuishi mbali na mama yake kisheria). Hakuna sheria wala mahakama (uamuzi wa mahakama) unaoelekeza iwe miaka 10. Na hiyo si Sheria ya Ndoa, ni Sheria ya Mtoto (1999). Yapo mazingira ambayo baba aweza ruhusiwa kumchukua mtoto katika (kwa amri ya mahakama) ktk umri wowote.
Je kama hapo baadae akiolewa na mwanaume mwingine watoto wanaweza kuwa adopted na mwanaume aliyemuoa mama yao? Je huyu baba wa illegimate children (Non-marital children - lugha ya staha) anaweza kuja kudai watoto wake? Je mama akikataa kuna sharia inamlinda? Naomba msaada wa kisheria. Hii ni kwa wanasheria tu kama si mwanasheria husitoe maoni subiri wataaluma watupe ushauri wao