Duh pole sana mkuu,,,Tumefanana kidgo japo mm mpka mzaz wa mwanamke aliingilia mm kunyimwa mtoto,lakin nilitumia busara na jeuri kdgo mpka nikafanikiwa,, mama wa mwanamke alinipiga biti na kusumbuliwa na polis kisa walikua wanauwezo,na msichana mwenyewe akaungana na mama yake kunidhulumu,,,nikaona isiwe tabu nikawa nanunua vitu vidogo vya kuchezea mtoto nampa mfanyakaz wao anapeleka wakijua nmenunua mm wanavichoma,kiukwel roho iliniuma sana,,mtoto akaanza chekechea nikawa namvizia kila akitoka shule maana anashusha barabaran msichana wa kaz anamfata na anampeleka home,BA's nikawa namnunulia ice cream kila siku,mpka akanizoea kabsa,bibi yake akiuliza nan kakupa anasema baba angu,,,Kila siku mpka wakamwamisha shule ili nisimwone na walikua wanamwambia maneno mabaya kua baba yako alishakufa na yule anaekununualia ice cream (yaani Mimi) ni mnyonya damu kwa hiyo anapaswa kuniogopa,kiukwel nilipitia magumu sana na vitisho BT mungu ana kuletea jarbu na baadae anakula njia ya kutatua, nikapata hela nyingi tu nikasema sasa ama zao ama zangu,nikaenda kununua kiwanja jiran kbsa na kwao,tulikua tunapishana km nyumba mbili tu Ila ili ufike kwao lazma upite kwangu,nikajenga nyimba nzuri tu,,Nikatulia lakin muda wote napigwa vita kwel kwel,mtoto akazoa kuja kila siku lazma aje maana tuliweka vimichezo vya watoto so ilikua lazma aje kucheza na watot wa majiran,alipofika darasa LA tano mbona wakasalimu amri na kuamua kumwambia ukwel maana Walishindwa kumkatalia tena na mpka Leo yupo form 3 naishi na mwanangu huku dar kirho safi.
Kwa hyo usiwe na haraka,mjengee mwanao ukaribu kabsa na wewe,mjali sana awe rafiki yako nakuambia hata ikipita miaka mingap mtoto atamtafuta baba tu.. Kua mvumilivu na utumie busara sana ndugu ,damu haipotei