Wanasheria nisaidieni niweze kumpata mwanangu

Katika hapo naomba kuuliza. Kwa mfano msichana na mvulana wanakutana na katika kufanya mapenzi anampa mimba na kuzaa mtoto mmoja. Wanaendelea anampa tena mimba na kupata mtoto wa pili. Baada ya hapo wanaachana na mama anaangaika na watoto wake bila kupata matumizi toka kwa baba. Watoto wanakua na kusoma kwenye mikono ya mama bila baba kujiangaisha kutoa matumizi.
Je kama hapo baadae akiolewa na mwanaume mwingine watoto wanaweza kuwa adopted na mwanaume aliyemuoa mama yao? Je huyu baba wa illegimate children (Non-marital children - lugha ya staha) anaweza kuja kudai watoto wake? Je mama akikataa kuna sharia inamlinda? Naomba msaada wa kisheria. Hii ni kwa wanasheria tu kama si mwanasheria husitoe maoni subiri wataaluma watupe ushauri wao
 
Nimeipenda hii Mkuu!

Mimi nimeshaanza kuitumia hii na sasa Weekend au likizo za shule mtoto anakuja kunitembelea....... Final ntamchukua kabisa coz Ilibidi nirudi kule nilipoanzia mwanzo.
Kama anakuja hadi kwako ina maana anatambua kuwa wewe ndo baba, sasa jichanganye eti umuibe ndo maza atakuwa mbogo. Mtoto kuja kwako ndo kiungo cha kumrejesha mkeo au ye humtaki.
 
Kama anakuja hadi kwako ina maana anatambua kuwa wewe ndo baba, sasa jichanganye eti umuibe ndo maza atakuwa mbogo. Mtoto kuja kwako ndo kiungo cha kumrejesha mkeo au ye humtaki.
Haimaniishi ntamuiba, means Ni rahisi kumtongoza mama ake Na kumwambia ukae Na mtoto!

Ilhari Kama hukuanza ulipoanzia ingekua ngumu.
 
ukiona anasema ivo juwa mtoto ajafikisha miaka 7 na kisheria mtoto akiwa na chini ya miaka Saba basi unakuwa chini ya uangalizi wa mama
 
Nimeipenda hii [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]big up kwa Sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…