Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Nchi hii ina Rundo la Vituko, Kubwa zaidi ni kuzidi kuongezeka Kwa Wanasheria njaa, waganga matumbo, walafi wa kila kitu Kwenye Fani hii Muhimu sana.
Mimi nilikwepa sana kusomea Sheria ili kuepuka Na Aibu ya kuitwa mwanasheria njaa. Mtu ambaye anajikunja kutetea Uongo uaminike ni kweli. Ni jambo la fedheha Na aibu sana.
Taaluma ya Sheria inamtaka mwanasheria kuchambua vinasaba vya sintofaham Na maswali Ndani ya jamii Na kutengeneza mnyororo mmoja wa Kweli ambao utakaa hapo hata kizazi Cha kesho Na keshokutwa.
Kama mteja akija kwako kaua Mtu Na kuna Kesi inamwandama. Anakuelezea alivyomuua, Mfano anakwambia nilikuwa namdai nilipomfuata alinijibu kunya ndipo nilipomvamia mapigo mawili matatu kumbe yakampeleka akhera. Mwanasheria mweledi anaangalia shauri la mteja wake Na kutengeneza mustakabali wa utetezi kwamba ni Kweli uliua lakini hukukusudia (pseudologoi eneo la Androktasiai "man slaughters") Na Kwenye uteteZi wake ataegea hapo.
Au Mfano Jambazi kavamia nyumba ya Mtu, akamnyuka risasi au mapanga Na kumuua raia. Mteja Kama huyu naye akienda Kwa Mwanasheria Na kueleza kisa Chake Mwanasheria mwerevu atalitambua shauri Lake Pseudologia lakini kipengele Cha phonoi "Murders" Kesi ya Mauaji Na ataisidia mahakama kuweka rekodi vizuri ili mteja wake apatiwe haki inayomstahili Kama ni kunyongwa Basi ale kitanzi Na Kama ni maisha Basi anapatiwa haki yake..
Nisikilizie Sasa 'Phonoi' au ''androktasiai' zimkute Mwanasheria NJAA..! Yeye hajui chochote zaidi ya kumtetea mteja wake "HAJAUA..! HAJAUA..! Hana Hatia!!'" ni ujinga, Aibu Na njaa iliyopitiliza. Hilo jambazi unalolitetea likitoka jela linakuja kukuvamia wewe wewe ..!
Tuongelee Gulargate and Children Kidnapping Law. Kuna aina tele Za ubakaji lakini mbaya zaidi ni gulargate. Unampa Mtoto kitu kidogo unamtenza nguvu maskini huyo. Ni Kama aina ya makubaliano lakini Mtoto 18years under Bado hajapevuka kujua mapenzi, madhara Na weledi Wa tendo lenyewe. Na zaidi ya yote hawezi Kuwa mshiriki Bali mshirikishwaji.. Katika unazi mkubwa Wa Kuwekea kingo sheria hii, mwanafalsafa mmoja mkongwe akasema unaruhusiwa kutembea Na Mtoto "in some cases factor" iwapo utamtongoza Na kufanya makubaliano kupitia Kwa Wazazi wake. Eti unamtaka halima 17years, unamtongoza baba Yake akuruhusu utembee Na Bint Yake. Lakini ilifanya Kazi Kwa wanazi kadhaa Wa mashariki ya Kati lakini sio kutembea Bali kuoa.! Mpaka ilipoondolewa Baada ya kujitambua Kwamba Mtu ni Mali ya Taifa sio familia. Ukitaka Kuoa miaka 18 nenda Serikali ikuruhusu kwanza.
Inapotokea milionea kabaka wanasheria Njaa badala ya kumwongoza Kwenye Haki wanatunisha misuli kumtetea.."HAJABAKAAAA.." Na hela zake wanakula Kweli nakwambia malipo ni hapa hapa ukirudi nyumbani mwanao weshamtenda utaona uchungu wake. Embu njaa zetu zisitufanye tujikojolee mbele ya kadamnasi. Mwanasheria kamili lazima ujivunie Kuwa Mwanasheria.. Weka kila kitu hadharani.. Haki apewe Mwenye Hali Yake.
Tunaweza Kuwa Na kumbukumbu Kwamba kipindi flani billionea mmoja Wa Marekani Mwenye Mtoto mmoja pekee Na mrithi Wa Mali zake alipata kashfa ya mauaji. Aliua Kwa bastola kijana mwingine mwafrica. Billionea huyu alihaha kutumia zaidi ya nusu ya fedha zake kuajiri mawakili nguli marekani, Hispania Na PNG.. Kuokoa jahazi mwanae asifungwe.. Malipo makubwa sana walipokea Na wakamsaidia sana billionea huyo Kwenye njia ya Sheria Na Mpaka Leo Mtoto alishafungwa miaka tele gerezani. Mawakili wanaojua uwakili ni Nini ..