Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria


Usitokwe povu ili tupime uwezo wetu wa kuargue mimi na wewe , tafuta mada then we argue na watu watajua kuwa nani ni kipanga na nani ni kilaza.
Nilikuwa naandika kwa sababu ya wanasheria na sikumwandikia kila mtu, kama hauelewi niachokiandika u simply ignore and proceed with your business. Huwezi kuniambia nianze kuorodhesha au kuelezea vitu for whose benefit? what will I gain then?

Mimi kama mwanasheria najua kuna ishu za kitaalam nyingi tu kwenye kila aspect ya kisheria niliyoitaja. Na ninatarajia kuwa "a reasonable lawyer" ataelewa kuwa nilikuwa nazungumzia nini. Kama hauelewi na unataka ufafanuzi zaidi, definitely it was not meant for you.
 

hauna jipya the educated one , kila la kheri pia, wasalimie wenzako. Pia usisahau kuwa wenye akili zao wakiwa wanaongea, kilaza kaa pembeni.
 
hauna jipya the educated one , kila la kheri pia, wasalimie wenzako. Pia usisahau kuwa wenye akili zao wakiwa wanaongea, kilaza kaa pembeni.


Haya sasa twende pamoja, unaposema wenye akili ni akina nani hao, wepi wasio na akili kwa uelewa wako butu wa sheria, huyo jamaa aneijiita NN, kakutoa kamasi umeishia kupandwa jazba matokeo yake mitusi inakutoka kama punguwani, eti lawyer my foot!!!
 
Na ukifuatilia michango ya wengi utagundua kuwa wengi ni wafuata mkumbo na hawaelewi hata kile wanachokiongea. Inasikitisha sana kuona taifa linakuwa na vijana wanaofikiria namna hii. Tutafika kweli?
 

Nilipenda arudi kutoa hii maana ya contract ili nione yake ambayo haiko complicated lakini ameindoka thatha.
 
Hamjamuelewa mtowa mada. Wanasheria ni msomi wa sheria na haijalishi kaisoma ipi. Hapa kamjadili wakili ktkt kesi ya mauaji ama ubakaji.
Angekwenda mbali zaidi Jaji ama Hakim " kesi hii naifuta ushahidi ulotowa hajaridhisha mahakama. Unaweza kukata rufaa". Na ni hakika mtu huyo ametenda kosa. Lakini hukumu inakuwa hivyo. Wasojua kuzungumza mahakamani ndo wanaofungwa gerezani..
Wazungumzaji na wenye pesa majamaa hawa hawana nyimbo. Tazama kesi wizi ktk bank name dawa za kulewa. Huu unga wa ngano. Jiteteeni lakni msg sent
 
Aspirin, Nyani, Mgunduziforeva na wengine wengine... lets say tulikua tukifundishana badala ya kulumbana... ndani ya moyo wangu sina hasira wala kinyongo na mtu itapendeza kama ikiwa hivyo kwa wote waliokua wanachangia humu (siusemei moyo wa mtu, hayo ni mawazo yangu), tusameheane tu.
Zaidi ya yote, simchukii mtu, nawapenda JF members wenzangu wote.
KAZI NJEMA.
 

Mmh. Learned brother wewe vipi ? NN angalau kaorodhesha wale ambao anafahamu huwezi kuingia nao mkataba,japo kasahau minor anaweza kuingia mkataba wa ''Necessity'' lakini wewe mbona unakusanya kwenye neno moja bila hata kuelezea chochote au mtu yoyote ? Disclaimer: Mimi sio learned brother plz.
 
ukiona mpaka nimefikia hatua ya kukutukana publically ni kuwa unaboa mbaya

nishakuambia sio mimi ambayo amepost hayo matusi, kama ningekuwa mimi sasa nimerudi kufanya nn

Hizo posts za matusi sijaandika mimi, mimi siwezi kumtukana mtu...fuatilia michango yangu yote humu JF uone kama nimeshawahi kumtukana mtu pamoja na kutofautiana mawazo

Wewe ni learned wa ukweli...
 

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Isanga Mbeya.
 

niilikuwa nawaandikia wanasheria ambao wanafahamu nilikuwa nazungumzia nini. Labda kwa faida yako wewe na huyo NN ni kwamba pia hauruhusiwi kuingia kwenye mkataba na watu waliofilisika (bankrupt),entities ambazo hazina legal personality e.g clubs e.t.c,.Pia kwa Tanzania mkataba wa necessities na minor na mtu asiyekuwa timamu ni halali, isipokuwa tu wajibu wa minor na mtu asiye timamu kwenye mkataba huo unatofautiana na mikataba ya kawaida. Katika mikataba ya necessities watu hao hawalipi actual price of the goods or services supplied under the agreement isipokuwa a reasonable sum.
 
haeleweki alikua anaongelea nini. Mimi naona amejichanganya tu

mtoa mada alikuwa na hoja nzuri tu, tatizo lake ameambatanisha hoja yake na kashfa, hasira,maneno ya kuudhi na kudhalilisha, matokeo yake watu hususani wanasheria waliotupiwa lawama wakaanza kujenga hoja kwenye viambata vya hoja badala ya hoja yenyewe

kama ambavyo wewe mwenyewe umekiri "haeleweki alikuwa anaongelea nini" lakini mheshimiwa umetupia post nyingi tu katika uzi huu,hivyo umechangia hoja ktk kitu ambacho wewe mwenyewe umekiri kushindwa kuelewa alikuwa anazungumzia nini.....hivyo basi unaweza kuona mawazo ya wengi pia hayajakidhi hoja ya mtoa mada.

ndio maana nikaanza kwa kuuliza kama kuna anayedhani amemuelewa mtoa mada aseme,na wote tujadili kiini cha hoja yake.karibu tuwekane sawa mheshimiwa
 

mimi sikuwa nachangia hoja ya mtoa mada ila mada ndogo ndogo zilizojitokeza kwenye hoja hiyo isiyoeleweka,ikiwemo ya watu kuwaponda na kuwadharau wanasheria
 
mimi sikuwa nachangia hoja ya mtoa mada ila mada ndogo ndogo zilizojitokeza kwenye hoja hiyo isiyoeleweka,ikiwemo ya watu kuwaponda na kuwadharau wanasheria

ok,na hapo ndio wachangiaji tulipokosea,tumejikita ktk mijimada vilivyoletwa na mada kama alivyosema nameless girl!kama nilivyosema uletaji wa hoja ulioambatana na kashfa,dharau na maneno ya kuumiza ndio ulioharibu uzi huu!ingawaje naamini mtoa mada ana ujumbe mzito ndani yake
 
Ooh God!! Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Hili jukwaa la sheria huwa unalipitia??

Btw nini kimekufanya umuone si mwanasheria? Hajaandika kisomi au hajajiita msomi?
mie huwa nashindwa kuelewa kwann baadhi ya memba humu ndani huona uanasheria, udaktari ndio fani pekee............
ukweli najivunia kuwa mwl manake kwa kuwa hivi naweza kujua fani za baadhi ya memba wengi tu humu na kujua uwezo wa kuelewa mambo katika fani zao.
nafikiri huyu nameless girl ni miongoni mwa wale wanaodhani kuwa msomi ni lazima uwe umesoma sheria.
hebu mwel;eze kwamba EMT si tu kwamba anaijua sheria bali anafundisha sheria.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…