SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
well what I know is that such character is illegal and strictily prohibited by legal profession laws.
Hii kazi hatta yes.u aliilaani
It's really hard for laymen to understand the undoubted importance of Legal profession, unless obviously, they need assistance when their contracts are breached, or when their rights are violated or when any crime is acted against them.
On my side, no matter what, this is one of the most noble carriers ever to develop. Let us keep doing what we studied and devoted to do for the society, my dear learned brothers and sisters.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kama kichwa chako kipo vizuri nenda kasome japo ka diploma ka sheria ukitoka hapo utakuwa umepata jibu la hoja yako. kwa hivyo ulivyo huwezi kuelewa hata ukielezwa namna gani coz you have already pre empted your mind.
kwa asiye msomi anawekwa kwenye dustbin la maisha. kwa kweli kusoma na kuelimika vitu viwili tofauti.. naamini..!Huyu tumwache. kubishana nae twapoteza muda. Bora angekuwa msomi.
mmm kila mtu akisoma sheria patakalika kweli? wahandisi pia mkumbvu8kage sheria tunazisoma ilasio za kiivyo za kutetea unachokijuani kosa
unadhani kila anaesomea sheria anaweza kua mwanasheria?
Kwani mwanasheria ni nani/yupi? Si ni mtu aliyesomea sheria...au sivyo?
Uki Disco masomo ya sheria mwaka wa mwisho (maana unakua umesoma mengi, sivo?) naweza kukuita mwanasheria?
Kama hujahitimu huwezi kuwa mwanasheria. Lakini unaweza kuwa mwanasheria na usiwe wakili. Kwa hiyo, si kila mwanasheria ni wakili. Lakini kila aliyesomea sheria (na kuhitimu shahada au stashahada) ni mwanasheria.
Kwa sababu hata ukidisko sosholojia mwaka wa mwisho huwezi kuwa mwanasosholojia. Na vivyo hivyo kwa fani zingine.
Mhh naona umenijia juu kama moshi wa kifu, usijenikacha kunitetea kwenye kesi yangu nikija hukooPlease Sista, defend this with evidence! Where and what did Jesus actually say that cursed our legal profession?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Other professions are noble too. When you need security protection, you call on the police, you call on the military. Theirs too is noble, not ignoble.
When you get sick, you go to healthcare professionals. Don't tell me theirs is ignoble.
Is teaching ignoble? Hell no. What about farming? Well, they feed your ass.
Most professions are noble. So stop acting like the whole world revolves around lawyering. It doesn't.
It's still legal. There are hundreds if not thousands of ambulance chasing lawyers in most big cities in the US.
my friend, ninyi wengine ambao sio wanasheria, sheria mnasoma kidogo sana na ndio maana hamuitwi wanasheria, ikimaanisha kuwa, kwa mtu kuitwa mwanasheria kuna kitu cha ziada anacho ambacho watu wengine hata wakisoma aina hata tano za sheria, awe na certificate au hata diploma ya sheria, hawezi kuitwa mwanasheria, mpaka asome awe na degree ya LLB. ukisoma degree hiyo na zingine za kuendelea kama LLM hadi Phd ya sheria, kuna sheria nyingi mno unazisoma, na kuna kitu cha ziada ambacho mtu asiye mwanasheria hawezi kuja kuwa nacho maisha yake yote.mmm kila mtu akisoma sheria patakalika kweli? wahandisi pia mkumbvu8kage sheria tunazisoma ilasio za kiivyo za kutetea unachokijuani kosa
Conforming to the lawcan you distinguish what does it mean by legal and illegal.from what you are saying is that in those big cities it is lawful to do suc acts.
If that the case,you are wrong,those who do that they violate their profession rules.
unaweza kusoma sheria kwenye uinjinia au sheria iliyochanganywa kwenye masomo ya biashara lakini ukashindwa kuitafisiri ile sheria, na zaidi ya yote mambo ya sheria huwa yanaingiliana, yanaingiliana na sheria nyingine, case law etc.
hapo kwenye red, ni vigumu sana kuelewa nilichoongea kama wewe sio mwanasheria, hapo ulipo unaweza kufikiri unao uwezo au unajua kitu kumbe haujui na hautakuja kujua ninachoongea hadi uwe mwanasheria.Hivi mtu atashindwaje kuitafsiri sheria? Na mwanasheria yeye ana uwezo gani zaidi ambao watu wengine wasio wanasheria hawana, ambao unaomwezesha yeye kuweza kutafsiri sheria?
Na hapa unazungumzia tafsiri. Tafsiri mara nyingi huwa si objective bali huwa subjective. Kwa hiyo, je, inawezekana ukapata wanasheria tofauti na kila mmoja wao akawa na tafsiri yake?
Kama ni hivyo (kila mwanasheria akawa na tafsiri yake), iweje sasa kwa mtu asiye mwanasheria naye akawa na tafsiri yake lakini tafsiri yake hiyo ikaonekana kana kwamba si sahihi (kama kuna usahihi kwenye tafsiri) bali ile ya mwanasheria ndiyo sahihi ilhali tafsiri huwa ziko subjective?