Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

Kwa nini nisiyakomalie? I can walk and chew gum at the same time.

Haya turudi kwenye hoja. Nipatie basi zile kanuni halafu nambie maana ya "inahakisi", tafadhali sana kaka msomi.

nimekwambia zitafute google,utanilipa shilingi ngapi kwa hiyo kazi unayonipa.
Inashangaza pia haujui maana ya kuakisi
 
Nizitafute Google za nini wakati wewe ndo umejitia kimbelembele na kuzileta hapa.

Na kumbe ulimaanisha "kuakisi" eeh? Au ulimaanisha "kuhakisi"?
 
haikuwa kimbelembele kama unavyosema,nilitaka kukuonesha kuwa sheria hazitafsiriwi kama vitabu vya kawaida,kuna kanuni za kutafsiri sheria. Ni heri mtu uwe mjinga kuliko kuwa --------.
"He who knows not and knows not that he knows not is a fool", and definitely I think you are.
 
Wewe huna majibu ya yale maswali. Ungekuwa nayo usingeninukuu na kuongelea mambo tofauti kabisa na nilichouliza.

Huna majibu ya maswali yangu. Ungekuwa nayo ungeyajibu moja kwa moja.

Nilidhani uko vizuri kichwani ila nimegundua una kasoro....
 
unaandika mambo mengi sana sana hadi nachka kusomaaaaaaaaaaaa jipange bwanah
 
Nilidhani uko vizuri kichwani ila nimegundua una kasoro....

Kwamba nina kasoro, labda. Lakini ukweli ni kwamba hujajibu maswali ya bandiko langu ulilolinukuu.

Kwa hiyo pamoja na kasoro yangu uliyoibaini leo bado nina uwezo wa kujua kama umeshindwa kujibu maswali. I give myself a pat on the back for that.
 
haikuwa kimbelembele kama unavyosema,nilitaka kukuonesha kuwa sheria hazitafsiriwi kama vitabu vya kawaida,kuna kanuni za kutafsiri sheria. Ni heri mtu uwe mjinga kuliko kuwa --------.
"He who knows not and knows not that he knows not is a fool", and definitely I think you are.

Hapa si tupo katika kuelimishana au? Kama ni hivyo basi nitajie hapa ili nami niweze kujifunza. We nitajie tu hizo kanuni nami kama nahitaji maelezo zaidi ntayatafuta kwa muda wangu. Nitajie basi.....

Halafu naona unazidi kuandika maneno ambayo yanafichwa na videshi deshi. Sijui ndo unanitukana au la. Si ishu lakini. Maana mtu akishindwa hoja huanza viroja.
 
Umeshindwa kujibu maswali yangu wewe. Hivyo acha kujificha nyuma ya kebehi za akili za watu wengine ili kuficha kushindwa kwako. Kebehi zako si majibu ya maswali yangu.

Sasa unadhani kebehi unazoletea wengine ni majibu ya maswali yao!!!!
Tatizo umezoea majibu ya kugoogle, ukiletewa indirect unashindwa kupata jibu ilhali linakua wazi tu.
 
Nadhani Nyani Ngabu ulikosa admission ya kusoma sheria kwani chuki uliyonayo kwa wanasheria sio ya kawaida! Nakuonaga mara nyingi tu unavyoikandiaaaa!

Mi nakushangaa kwani wewe unalalama ilihali wenzio wanaingiza hela na heshima wanapewa mtaani...Mwimbaji mmoja anasema "wenye wivu wajinyonge"

CC Nyani Ngabu
 
Kwa nini ujibu indirectly maswali ambayo yako direct? Wewe jibu maswali yangu line by line, question by question, kama unaweza.
 
Kwamba nina kasoro, labda. Lakini ukweli ni kwamba hujajibu maswali ya bandiko langu ulilolinukuu.

Kwa hiyo pamoja na kasoro yangu uliyoibaini leo bado nina uwezo wa kujua kama umeshindwa kujibu maswali. I give myself a pat on the back for that.

Usipende kujipa matumaini yasiyo ya kweli.
 
Nadhani Nyani Ngabu ulikosa admission ya kusoma sheria kwani chuki uliyonayo kwa wanasheria sio ya kawaida! Nakuonaga mara nyingi tu unavyoikandiaaaa!

Mi nakushangaa kwani wewe unalalama ilihali wenzio wanaingiza hela na heshima wanapewa mtaani...Mwimbaji mmoja anasema "wenye wivu wajinyonge"

CC Nyani Ngabu

Bwa! ha! ha! ha! Si afadhali hata ningekosa hiyo admission ya kusoma sheria maana huenda hata ningekuwa admitted kusomea ualimu. Mwenzio hata form five sijafika.

Mi ni mbeba maboksi tu. Sina chuki na hao wasomi.
 
Kwa nini ujibu indirectly maswali ambayo yako direct? Wewe jibu maswali yangu line by line, question by question, kama unaweza.

Tunarudi kule kule....
Hatuko hapa kwaajili ya kuonyeshana nani zaidi... umetoa maswali yako nami nikatoa mawazo yangu.
Katika maswali yako, Kuna instruction zinaonyesha najibu line by line?
Who the hell are you nikujibu line by line?
Natoa michango na mawazo yangu pamoja na kujibu maswali ambayo nitakua intrested nayo kwa style nitakayotaka mimi. Ukishindwa kuelewa go to hell.
 
Back
Top Bottom