Kwa nini nisiyakomalie? I can walk and chew gum at the same time.
Haya turudi kwenye hoja. Nipatie basi zile kanuni halafu nambie maana ya "inahakisi", tafadhali sana kaka msomi.
mkuu achana na huyu jamaa ni "slow soldier",hawezi kucomprehend vitu kabisa,huyu jamaa ni shida.
nimekwambia zitafute google,utanilipa shilingi ngapi kwa hiyo kazi unayonipa.
Inashangaza pia haujui maana ya kuakisi
Haya, hilo lipotezee.
Jibu basi yale maswali ya lile bandiko langu ulilolinukuu. Sawa?
Unahisi sikujibu!!!!!
Nizitafute Google za nini wakati wewe ndo umejitia kimbelembele na kuzileta hapa.
Na kumbe ulimaanisha "kuakisi" eeh? Au ulimaanisha "kuhakisi"?
Wewe huna majibu ya yale maswali. Ungekuwa nayo usingeninukuu na kuongelea mambo tofauti kabisa na nilichouliza.
Huna majibu ya maswali yangu. Ungekuwa nayo ungeyajibu moja kwa moja.
Wewe unamwambia mwenzako afanye ambacho wewe umeshindwa? We vipi wewe.....mbona hujaachana na mimi mpaka mida hii?
Sihisi kitu. Ni hukujibu, period, end of story.
Na hukujibu kwa sababu huna majibu. Kama unayo jibu basi.
Nilidhani uko vizuri kichwani ila nimegundua una kasoro....
Naanza kuelewa kwanini watu walazimishwe kwenda Dodoma.
haikuwa kimbelembele kama unavyosema,nilitaka kukuonesha kuwa sheria hazitafsiriwi kama vitabu vya kawaida,kuna kanuni za kutafsiri sheria. Ni heri mtu uwe mjinga kuliko kuwa --------.
"He who knows not and knows not that he knows not is a fool", and definitely I think you are.
Umeshindwa kujibu maswali yangu wewe. Hivyo acha kujificha nyuma ya kebehi za akili za watu wengine ili kuficha kushindwa kwako. Kebehi zako si majibu ya maswali yangu.
Sasa unadhani kebehi unazoletea wengine ni majibu ya maswali yao!!!!
Tatizo umezoea majibu ya kugoogle, ukiletewa indirect unashindwa kupata jibu ilhali linakua wazi tu.
Kwamba nina kasoro, labda. Lakini ukweli ni kwamba hujajibu maswali ya bandiko langu ulilolinukuu.
Kwa hiyo pamoja na kasoro yangu uliyoibaini leo bado nina uwezo wa kujua kama umeshindwa kujibu maswali. I give myself a pat on the back for that.
Nadhani Nyani Ngabu ulikosa admission ya kusoma sheria kwani chuki uliyonayo kwa wanasheria sio ya kawaida! Nakuonaga mara nyingi tu unavyoikandiaaaa!
Mi nakushangaa kwani wewe unalalama ilihali wenzio wanaingiza hela na heshima wanapewa mtaani...Mwimbaji mmoja anasema "wenye wivu wajinyonge"
CC Nyani Ngabu
Usipende kujipa matumaini yasiyo ya kweli.
Kwa nini ujibu indirectly maswali ambayo yako direct? Wewe jibu maswali yangu line by line, question by question, kama unaweza.