Raisi Jomo Kenyatta, Raisi Madiba Mandela walitokea gerezani kwa tuhuma nzito za kufanya vitendo vya ugaidi,kula njama kupindua serikali,kuuwa wakulima wa kizungu na askari wa utawala.
Waliitwa terrorists,arsonists, rapists, lakini mara waliporudi uraiani waliruhusiwa kushiriki uchaguzi wa uraisi na waliposhinda wakapewa Ukuu wa nchi hizo.
Tuseme tu sio NEC au Serikali,au Chadema au CCM walio perfect 100%.Kila mmoja ana mapungufu yake.
Jaji Kaijage asitumike kama scapegoat kwa mtaji wa teuzi za muda.