Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wasiwasi watamzuia kugombea! Labd foreign forces ziwashinikize kutenda haki!Ccm wanachekesha sana, kama lisu wakimzuia kugombea niitaongeza hasira kwa wananchi natutaenda na "KAZI NA BATA"
Kama mpaka sasa hawajajifunza namatokea ya kuiua CUF basi mtakua nisikio lakufa
Nikwamba hata wakimzuia inawafavor zaid upinzani kuliko CCM manake automatic watakua wameunganisha wapinzan bila kusababisha mpasuko uliotokea 2015Nina wasiwasi watamzuia kugombea! Labd foreign forces ziwashinikize kutenda haki!
Wanajua kuwa wenye kili wanaichukia CCM kwa matendo yake ya miaka 5!Mnahangaika sana hao NEC wamuache sanduku la kura liamue kwani shida iko wap wakati serikali imefanya mengi awamu hii
Pasco anawezaje kusema ni kesi za jinai?Zile Ni kesi za kichochezi sio za jinai!!
#niyeye_2020
Hafungwi mtu hapaa