Itakua nivzur zaid, manake hata wachache ambao hawajaamka pia watamka.Wakimuengua na Membe utaenda kwa nani
Unapoamua kugombea urais, you have to choose in between kugombea urais au kuendelea kuwa mwanaharakati, you can't be both, mwanaharakati na mgombea urais. Ukichagua kuwa mgombea urais, uanaharakati unauweka pembeni, you speak, talk and behave like a president in waiting!, huwezi kusema hovyo, huwezi kutukana watu, huwezi kutoa tuhuma bila ushahidi, huwezi kuibagaza nchi yako kwenye media za mabeberu, halafu ukategemea utapitishwa tuu hivi hivi kugombea urais!.
Kumuengua Tundu Lissu kugombea uraisi wa JMT ndio njia pekee ya ccm kushinda uchaguzi huu. Na watalisimamia hilo ili litimie.
Ila Mungu si wa ccm; ni wa wote.
CCM wakifanya hivo nitawadharau Sana. Approach waliyoichagua ya kupiga kimya ime work out. Lissu ni Kama anafukuza upepo kila anachojaribu kinabuma, Watanganyika ni Kama hawamuoni na unaweza kuona yeye na wafuasi wake wameanza kupaniki, hawapati response waliyotegemea Sasa wanaanza kutumia nguvu kubwa ikiwemo hata humu.
Isipokuwa tu Serikali inapaswa kuwa makini baada ya watu kuonekana kutokumtilia manani anaweza kufanya chochote kibaya ili mradi kutafuta millage na huruma. Jana alisema anatishiwa, wenye akili wanajua what he is going to do next!
Jifunze kuelewa mada usikurupuke!Ulaaniwe, umeibuka leo na Lisu! baada ya kupotea siku kadhaa!
Paskali kuna wakati nilikuwa nakuona kama kaShivji kadogo, lakini kwa uzi huu sasa nakuona kama mtoto aliyeko chekechea. Au ni madhara ya kazi za wajumbe?!!Akienguliwa safari tupo tayari kutangulizwa Mbinguni na policeccm. Halafu Ccm ibaki na Nchi yao waliyopewa peke yao na Mungu.
Tulia acha kuruka ruka,Lisu is innocent until proven guilty, kwani wewe na ccm mnaona wivu gani akishinda uraisi na akafutiwa hayo mashitaka mnateseka nini
Hata mimi nilipoona heading ya hii mada nikaona ina nia ovu nyuma yake.Wewe unatumika siyo bure!
Waache kumuengua anayegawa rushwa hadharani waje wamuengue Lissu?
Hakuna ushindi wa mezani hapa, kila kura lazima ipiganiwe!
Mods this is a malicious thread iondolewe
Huyu anataka kuset tune kwa watawala wafanye udhalimu kama alivyoset tune Kabendera akapata matatizo
Naomba hii mada ya kichawi iondolewe hapa!
Huu uzi unachochea chuki kwenye jamii. Ni uzi uliojaa nia ovu.Paschal
Umekumbwa na nini ndugu? Soma ulichokiandika ujitathimini.
Unaomba msaada kwa wanasheria wakati huo huo wewe unatoa hukumu? Kama hukumu ulikuwa nayo, ya nn kutuuliza tena?
Umeandika kama mtu huru (unajificha) wakati huo huo ukada wako unaudhihirisha!!
Soma tena sheria, Lissu mwenyewe alishafafanua (HAFUNGWI MTU HAPA speech) aliyaeleza haya kwa ufasaha ni namna gani wanaweza kumuengua. "Makosa ya uchochezi hayamzuii mtu kugombea uraisi kwa namna yoyote ile. Iwe ameshindwa kesi au anatuhumiwa"!!
Vinginevyo umeleta bandiko hili kupima upepo kwa maagizo maalum!!