Uchaguzi 2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

Mimi si mjuzi wa sheria, naomba usaidizi.
Hivi sheria imeandikwa kinachoweza kumuengua ni kukutwa na hatia? Ama ni kuwa mtuhumiwa?

Kwa kuwa uko upande huo ambao ndio wenye kuratibu ratiba nyingi tu, naomba unisaidie kujua kama kuna tetesi zozote kwamba atapatikana na hatia kabla ya 25 august.

"Mimi Pascal Mayalla, kwa sasa ni kada wa Chama cha Mapinduzi".
Hongera sana kiongozi kwa kutumia uhuru wako wakufanya maamuzi.

""huwezi kusema hovyo, huwezi kutukana watu
Ni mara nyingi sana wana-ccm wanadhani kwamba kuna watu wanakichukia chama au wao wenyewe. Lakini ukweli ni kwamba ukiondoa watu kama mimi ambao si wasomi utagundua hata hao wasomi kama kaka Mayalla huwezi kuwaelewa tena usomi wao kwa sababu tu ni makada wa ccm. Suala la kutukana ama kusema hovyo ndio silaha kubwa inayotumiwa na wana-ccm dhidi ya wapinzani wao bila kuwekwa wazi ni matusi gani. Hata mtu awe msomi wa aina gani lakini kwa kuwa ni kada wa ccm hoja ya matusi hatokosa kuizungumzia.

Katika kampeni za ccm, hayati Mkapa alisema wanotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa.
Katika mkutano wa JPM alimtumbua DAS nakuteua mwingine kwa msaada wa RC kama sikosei, DAS mpya alikuwa mwanamke, akamwambia nendeni mkagombee wanaume wewe na DC muondoke nyote.

Ndani ya bunge la JMT,mbunge Ismail Jussa alilalamikia kwamba walipokuwa ZNZ kuna mambo walikubaliana waje wayaseme bungeni, lakini wenzao wa-ccm walipofika wakaufyata. Akasimama mbunge wa ccm akamjibu Jussa kwamba mimi siku ufyata bali nimeufyatua ndio maana nimezaa watoto, tafsiri ambayo ni tofauti sana na neno husika.

Na kuna kauli nyingi sana ambazo ni mbaya hasa za viongozi ndani ya ccm lakini kwao ni kawaida ila wapinzani wao ndio wanaotukana.
Nasikitika kwamba sikusoma, lakini nahuzunika zaidi ninapo ona wasomi wakiacha elimu zao nakujikita kwenye propaganda ambazo hata sisi ambao sio wasomi tunashindwa kuwaelewa nini kinawakuta wasomi wetu wanapokuwa makada wa upande huo?

Mwana-ccm ambae naweza kumtetea ni mama Tibaijuka aliposema, "kila ukizidi kupanua ndio watu wanazidi kutamani". Hahhahaa naamini mama hakuwa na maana mbaya, alikuwa anachangia hoja kama si ya maji basi ni umeme sikumbuki vizuri.
 
Umesahau number za simu mkuu
 
Paskali kuna wakati kichwa inapata moto, si unajua katokea kule alikotokea jiwe, kule mabichwa huwa na moto na kujichanganya.

Paskali tulia
 
Kuna kile kigezo cha uwe umekaa ndani ya nchi kwa miezi isiyopungua 18 kama sijakosea . Hii imekaaje?
 
Mi nimezoea kuona unakosa la kufungwa miezi isiyopungua sita ndio wakosa sifa za kuwa kiongozi.

Sio tuhuma.

Hata JPM anatuhuma nyingi sana
 
Akili zingine ni akili za majani aka kitu Cha Arusha,kujitoa ufahamu Kama Lisu atapata hata Robo za kura za Urais ni sawa na mtu aliye toka kuvutia chooni,mm nashauri hivi"kwa Sasa Lisu kesi zake zote zisimamishwe mpaka uchaguzi upite na asienguliwe kwenye kinyang'anyiro Cha kugombea'pia namshauri Muheshimiwa Rais Magufuli asifanye kampeni zozote zile atulie tu"halafu tuone Kama atapata hata kura Robo za wa Tz,nayaongea haya kwa mfano mdogo tu"Fikiria nchi ingekuwa mikononi mwa wahuni wale halafu kipindi hiki Cha korona ambacho wao walijidai hata kukimbia bunge je sisi akina kajamba Nani tungekuwa wapi,maana wao wanapesa za Bunge wengine hata ajira hatuna Tena.
Kumuengua Tundu Lissu kugombea uraisi wa JMT ndio njia pekee ya ccm kushinda uchaguzi huu. Na watalisimamia hilo ili litimie.
Ila Mungu si wa ccm; ni wa wote.
 
Muandishi wa makala hii alifunguliwa kesi ya mauaji eti alikuwa nataka kumtoa uhai Mh...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe "Paskalia"_ni kanjanja wa sheria! Soma URT Constitution ibara 136(b).
Halafu refer kesi ya Uhuru Kenyatta & William Ruto ICC,mbona waligombea Urais huku wakikabiliwa na kesi ya jinai.

Mtu mwenye kesi ya jinai anakuwa treated as innocent till proved guilt.

Tundu Lissu anazo sifa zote na system isitumie mawazo ya wenye njaa kama Paskalia Mayalla kufanya maamuzi kwani yataleta shida!
 
Paskal wewe ni mkora
 
Pascal tulikuwa tunakutafuta muda mrefu kumbe ulikuwa unaunga vyuma ili Lissu aenguliwe! Akisha enguliwa roho yako itatulia. Karibuni tena nyumbani.
 

ICC - JMT Are you serious.
 
Unakumbuka JPM alikuwa na tuhuma ngapi kabla hajawa Rais Japo hakuwahi kupelekwa mahakamani ila alishtakiwa kwa nafasi yake
  • Kuvunja shel mwanza serikali ililipa bilions
  • Kushikilia meli ya uvuvi serikali ililipa bilions
  • not to mention Uuzaji wa Nyumba za Serikali kwa wasiohusika
 
Mkuu Paskali, haitashangaza kama Lissu ataenguliwa kugombea , bado tunakumbuka vizuri kilichotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka jana, naimani pia unafahamu kwa sasa TAMISEMI iliyovuruga uchaguzi ule ipo chini ya ofisi ya Rais,hii inaweza kuwa nafasi ya mwisho kwa watawala kudhihirisha kuwa kuna sababu ya kuendelea kuheshimu utaratibu tulionao wa kupata viongozi, kumbuka kuna njia nyingi za kuingia ikulu si lazima kupitia sanduku la kura lisiloheshimiwa.
 
Bila Shaka P huu Ni ujinga!
Harakati ndizo zilizoleta mapinduzi Dhidi ya Watawala na Wafalme Duniani kote!
Iran,Libya,Arab Spring, Zambia,Malawi,Makaburu,Soviet,nk
Hata Nyrere na Tanu zilikuwa Ni harakati za akina Bibi Titi!
...hata Yesu na Mohamed walifanya harakati!
Shule mlienda kusomea Nini...😂
 
Wewe si Una sheria ya UDSM?
 
Lissu mwenyewe alitamka kuwa kwa sheria za nchi anazozijua yeye hana kesi yoyote ya kumzuia kugombea uraisi.
 
Wa
Walienda kusomea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…