Mimi si mjuzi wa sheria, naomba usaidizi.
Hivi sheria imeandikwa kinachoweza kumuengua ni kukutwa na hatia? Ama ni kuwa mtuhumiwa?
Kwa kuwa uko upande huo ambao ndio wenye kuratibu ratiba nyingi tu, naomba unisaidie kujua kama kuna tetesi zozote kwamba atapatikana na hatia kabla ya 25 august.
"Mimi Pascal Mayalla, kwa sasa ni kada wa Chama cha Mapinduzi".
Hongera sana kiongozi kwa kutumia uhuru wako wakufanya maamuzi.
""huwezi kusema hovyo, huwezi kutukana watu
Ni mara nyingi sana wana-ccm wanadhani kwamba kuna watu wanakichukia chama au wao wenyewe. Lakini ukweli ni kwamba ukiondoa watu kama mimi ambao si wasomi utagundua hata hao wasomi kama kaka Mayalla huwezi kuwaelewa tena usomi wao kwa sababu tu ni makada wa ccm. Suala la kutukana ama kusema hovyo ndio silaha kubwa inayotumiwa na wana-ccm dhidi ya wapinzani wao bila kuwekwa wazi ni matusi gani. Hata mtu awe msomi wa aina gani lakini kwa kuwa ni kada wa ccm hoja ya matusi hatokosa kuizungumzia.
Katika kampeni za ccm, hayati Mkapa alisema wanotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa.
Katika mkutano wa JPM alimtumbua DAS nakuteua mwingine kwa msaada wa RC kama sikosei, DAS mpya alikuwa mwanamke, akamwambia nendeni mkagombee wanaume wewe na DC muondoke nyote.
Ndani ya bunge la JMT,mbunge Ismail Jussa alilalamikia kwamba walipokuwa ZNZ kuna mambo walikubaliana waje wayaseme bungeni, lakini wenzao wa-ccm walipofika wakaufyata. Akasimama mbunge wa ccm akamjibu Jussa kwamba mimi siku ufyata bali nimeufyatua ndio maana nimezaa watoto, tafsiri ambayo ni tofauti sana na neno husika.
Na kuna kauli nyingi sana ambazo ni mbaya hasa za viongozi ndani ya ccm lakini kwao ni kawaida ila wapinzani wao ndio wanaotukana.
Nasikitika kwamba sikusoma, lakini nahuzunika zaidi ninapo ona wasomi wakiacha elimu zao nakujikita kwenye propaganda ambazo hata sisi ambao sio wasomi tunashindwa kuwaelewa nini kinawakuta wasomi wetu wanapokuwa makada wa upande huo?
Mwana-ccm ambae naweza kumtetea ni mama Tibaijuka aliposema, "kila ukizidi kupanua ndio watu wanazidi kutamani". Hahhahaa naamini mama hakuwa na maana mbaya, alikuwa anachangia hoja kama si ya maji basi ni umeme sikumbuki vizuri.