Mbunge Luswe
Member
- Jan 23, 2018
- 56
- 23
Sasa akihukumiwa tena ina maana atakua amehukumiwa vifungo viwili wakati alieuliwa ni Mmoja tu,Salam wakuu.
Ikitokea mtu akahukumiwa kwa kosa la mauaji, hukumu ya miaka 30 jela. Na akatumikia yote. Siku anatoka jela ghafla akamuona mtu aliye tuhumiwa kuwa aliimuua, akapata hasira na kumpiga hadi kumuua. Kisheria hii inakuwaje?? Atahukumiwa tena au??
Karibu wakuu.
Una uhakika kuua kifungo chake ni miaka30? Au uligonga like (mimba) mwanafnzi....Kweli yaani, maana umetumikia kweli ghafla jamaa huyoo
Duuuh hapo ni utata kweliSasa akihukumiwa tena ina maana atakua amehukumiwa vifungo viwili wakati alieuliwa ni Mmoja tu,
Hapo inabidi abaki uraiani
Mkuu tutapata wapi documents hizo??Kasome kifungu namba 21 cha sheria ya kanuni ya adhabu
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Una uhakika kuua kifungo chake ni miaka30? Au uligonga like (mimba) mwanafnzi....
Kweli mkuukidunia utafanya kama alivyofanya amitabh bachchan kwenye andhah kanoon, kisheria tuwangoje wanasheria.
Haya ni maswali ya story za vijiweni haya! Ila kukuelimisha ni hivi: Anapotoka kama amemwona yule mtu aliyedhaniwa kuwa aliuawa inatakiwa yeye afungue kesi ili Jamhuri imlipe fidia kwa muda aliopoteza akiwa jela bila kosa! Na kama uvumilivu utamshinda na akiamua kujichukulia sheria mkononi basi atakamatwa tena na atafanyiwa kesi mpya ya mauaji japo kwenye hukumu ya pili anaweza kupunguziwa adhabu kulingana na mazingira aliyotenda kosa! Hiyo itategemea mazingira ya kuua.Salam wakuu.
Ikitokea mtu akahukumiwa kwa kosa la mauaji, hukumu ya miaka 30 jela. Na akatumikia yote. Siku anatoka jela ghafla akamuona mtu aliye tuhumiwa kuwa aliimuua, akapata hasira na kumpiga hadi kumuua. Kisheria hii inakuwaje?? Atahukumiwa tena au??
Karibu wakuu.