Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Ninachokiona
Mawakili wenyewe hawako makini

Mwanzoni mwa barua jina limeandikwa GARDNER G. H ABASHI (Angali nafasi kati ya "H" na "A"

Baadaye kidogo limeandikwa Habashi bila kuacha nafasi.

Kisheria hao ni watu wawili tofauti na sijui wamemwandikia yupi?
Hizo error's za kawaida..... muhimu angalia address labda kama clouds siku hizi kuna Abash na Habash
 
wataliwa PO in the daylight hawataamini, hiyo demand notice inaflaws nyingi tu.
mkuu wewe ni mwanasheria?
hivi unajua ni wakati gani hizo POs zinaibuliwa mahakamani?na jee unajua sababu au hoja zipi zitakubalika kama ni POs na kuweza kumaliza kesi mahakamani?jee,ni kweli kwamba demand letter inaweza kupigwa PO?kama ndio, kwa misingi ipi?
 
Mtoto wa kike anaweza kuwa yoyote, na aliyefanya hayo kwa miaka 15 unaweza kupata jawabu alikuwa anamsema nani.
Kwa wale wasioelewa hapo ndipo inapotumika circumstantial evidence na kushtukia Gardner chali.Kwani kwa yeye kumwomba radhi Jaydee ni nini kinapungua?Asidanganywe na hao wanawake waliomwingiza kingi akidhani watamsaidia gharama za kumlipa Jaydee na gharama zake si za pole pole.Siioni nafasi yake kushinda kesi.Kama umri wa Gardner ni mkubwa wa kuwa na binti wa kiasi hicho angeomba vipindi kwenye radio yao vinavyoendana na umri wake na kama elimu ndio tatizo akubali aibu kwani anaweza kuwaalika wadada studio na binti yake akawemo kipindi hakitanoga.
 
unaelewa unachoandika au arguments zako?
 
haha sijalenga hiyo demand letter kupigwa PO hiyo haiwezi nilichokizungumzia ni umakini wa hao lawyers kuandaa document zao sawa sawa maana isije ikala kwao kutokana na some flaws kwenye hiy DN
 
'...very hard to prove...' sentensi yako hii Mwishoni inamaanisha umenielewa! Aksantum!
hii game nzuri hakuna hata nyasi kuumia 😡😡😡😡😡😡
 
Sheria haitaki assumptions. Give evidence that will clear doubts
 
Neno kumkojoza lipo kwenye kamusi,lina maana gani hilo Neno,je kama lipo ni tusi!kama tusi lina maana gani?je halina maana zaidi ya moja hilo Neno,naombeni msaada wakufuzi Wa kiswahili,baada ya kupata maana yake linaweza kumtia Mh Garner hatiani au
 
Ninachokiona

Hizo error's za kawaida..... muhimu angalia address labda kama clouds siku hizi kuna Abash na Habash
kama unabariki carelessness ya namna hiyo kwenye sheria basi utakua na taahira ya akili.... ipo siku utasema mtu kufungwa miaka 1.5 na 15 ni error ya kawaida kwasababu mshtakiwa ni mtu huyohuyo

This is krapppy
 
Reactions: BAK
haha sijalenga hiyo demand letter kupigwa PO hiyo haiwezi nilichokizungumzia ni umakini wa hao lawyers kuandaa document zao sawa sawa maana isije ikala kwao kutokana na some flaws kwenye hiy DN
sawa mkuu,ila maelezo yako yamekaa kiutata kidgo,coz kwa ulivoyaandika ni umeweka direct link kati ya PO na flaws za kwenye DN kitu ambacho sio fatal ktk kesi kuu,nakubaliana na wewe ktk kuwa wawe makini hasa katika kuandaa docs nyengne zitazoimove court ktk main case(plaint na applications).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…