ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ninachokiona
Hizo error's za kawaida..... muhimu angalia address labda kama clouds siku hizi kuna Abash na HabashMawakili wenyewe hawako makini
Mwanzoni mwa barua jina limeandikwa GARDNER G. H ABASHI (Angali nafasi kati ya "H" na "A"
Baadaye kidogo limeandikwa Habashi bila kuacha nafasi.
Kisheria hao ni watu wawili tofauti na sijui wamemwandikia yupi?