Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Unless unataka kuonekana mshindi katika hoja hii, Swali lilikuwa juu ya mtaraka, Gadner hana mtaraka zaidi ya JD. Mtoto (Mkubwa) unayemzungumzia alimpata Mwanza kabla ya kuwa na Jd wala hajapata kuishinaye au kuwa na ugomvi naye wa kimahusiano
point of correction jd sio mtalaka pekee wa Gadna...gadna anawatalaka wawili jide na mamake caren
 
point of correction jd sio mtalaka pekee wa Gadna...gadna anawatalaka wawili jide na mamake caren
Sijui tafsiri yako juu ya taraka, Mama yake Caren ni mzazi mwinziwe, na hata mtoto amelelewa naye. Alikuwa anaishi na wazazi wake, official taraka ni ya juzi iliyotolewa kisheria mahakamani na ndiyo hivyo ikawa Ndi ndi ndi ndii
 
kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
Mwanamke ana tatizo hashiki mimba. Gardner ana mtoto mkubwa tu
 
mim ningekuwa JIDE ningemnyoosha angeeenda kuweka ile Gari Bondi kudadek si anataka tuonyeshane 🙂🙂🙂🙂🙂
JD apambane kutafuta mtoto siyo kumtafuta Gardner.
 
Karusha moja tu mnamind kwani jide karusha mangapi?
 
Mkuu,ndio maana gadna kamshushia hiyo scud kumtuliza inaonekana anajua vzr mdomo wake.
Anamjua sana tu. Kamtungia Gadna nyimbo nyingi sana za kejeli, lakini jamaa alijipa uanaume na kukauka kimya. Sasa aliposema kamkojoza miaka 15 imekua kesi ya nchi nzima, hii si haki.
 
Aliwahi kuoa kabisa na kumwacha mke wa kwanza

Huyu Gadner aliharibiwa na yule mama wa Tanrose ambako Gadner alikuwa anafanyakazi dukani kwake akiuza CD.
Huyu mama ndiye aliyemfundisha umarioo na hadi akamvunjia ndoa yake na mkewe ambaye ndugu yake na Hashim Lundenga.
Ndio akawa ashazoea kulelewa, hata Kusaga alipompeleka Clouds nako akaanza kulelewa na Faudhia.
Yuko Clouds hadi leo ana nywele za Kisomali hivi, nakumbuka wakati ule alimpa hadi gari ya kutembelea, Mark II box.
Kwa kupenda kulelewa, Gadner baada ya Jide kupiga hela tu ndo akajipeleka kwake na kuleta mgogoro kwa Jide na Faudhia.
Gadner akawa hasomeki mara kwa Faudhia mara kwa Jide, ndio ikaja ngoma ya Wanaume kama Mabinti na ile remix ya Siwema.
Lakini tabu kubwa ya huyu jamaa ni umarioo, na ndio maana baada ya kuachwa na Jide akawa na hali mbaya sana.
Alikuwa hajazoea kujilipia kodi ya nyumba na huduma zingine na hata mkopo wake wa NBC. Yaani Kusaga alifanya kumsaidia tu arudi Clouds.
Kusaga kampa nyumba, kampa gari ya kutembelea ili kumpunguzia makali na aendelee kulipa mkopo wake.

Ova
 
Wewe Ni Kibonde?
 
Miaka 15 alikua na mahusiano na nani?na ile ndindindi iliopigwa akacheza inakamilisha picha mbona mkuu
So long as he didn't mention any name hizo miaka 15 na sijui ndindi.. Sio exhibit kwenye sheria... Huwezi kumhukumu mtu kwa assumptions. Kwa kukojoza ni nini?? Sio kiswahili hata
 

Usikolijua kama usiku wa kiza,Kumbe Gardner ndo alivyo!
Loh!

Msemo mpya unaorudi kwa kasi

1:-'marioo'

2:-'wanaume kama binti'

Asalaam G
 
Sijui tafsiri yako juu ya taraka, Mama yake Caren ni mzazi mwinziwe, na hata mtoto amelelewa naye. Alikuwa anaishi na wazazi wake, official taraka ni ya juzi iliyotolewa kisheria mahakamani na ndiyo hivyo ikawa Ndi ndi ndi ndii
Usichoelewa ninini juu ya talaka? Hata kama umezaa na mwanamke watoto kumi anaweza kuwa mtalaka wako.kwahiyo huyo mzazi mwenzie Gardner pamoja na JD wote wanaweza kuwa watalaka wa Gardner.
 
Hivi Gardner huwa anafanya kazi halipwi mshahara.? Mnanishangaza mnaposema huwa anatunzwa wanawake. Lakini si mbaya kama anawakojoza miaka 15 wacha wampatie tu pesa.
 
Hata mwanaume anaweza kuwa na matatizo, kwani wewe una uhakika gani kama yule mtoto ni wa G
Mtoto wa Gardner yule wewe vipi.mama mtoto mwenyewe anakiri kakojozwa akamzaa binti mrembo. JD kakojozwa miaka kama 15 lakini habebi mimba.atafute mwanaume mwingine amkojoze.
 
Usichoelewa ninini juu ya talaka? Hata kama umezaa na mwanamke watoto kumi anaweza kuwa mtalaka wako.kwahiyo huyo mzazi mwenzie Gardner pamoja na JD wote wanaweza kuwa watalaka wa Gardner.
Taraka inatolewa kwa ndoa rasmi, iwe ya dini, au serikali huwezi kuzaa na mtu anayeishi na wazazi wake usimuoe ukaita taraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…