Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Upande wa sheria.... Ingekua jide katajwa kwa jina au G maybe kaonyesha picha yake au ishara yoyote isiyo na shaka kuwa mtajwa ni jide.. Bas bwana G angekua na kesi ya kujibu... Lakini tayari kuna mazingira tata hapo ambayo yanampa G uwanja mpana wa kumwachia vumbi jide... Anaweza akaibuka na ushahidi ya mtajwa aliyekua anamuongelea siyo jide na akashinda kesi kirahic tu
 
Hv jide akiulizwa,unaelewa nn kuhusu kukojozwa...!?[emoji23][emoji23][emoji23]atajibuje..!
Silence is best revenge
 
Kwa sakata hili la kuachana na Jide alionyesha kujutia kuachana na mke wake wa kwanza siku moja juzi kati alihojiwa
 
"anakojoa hewa"... nimeipenda hiyo... team Gadner angalia msijeumbuka... si ajabu dada huyu si mgumba kama wengi tunavyoamini!!!!! muda utaongea. Ni rahisi kwa mwanaume kulea mtoto asiyewako kuliko ilivyo kwa mwanamke.... Gadner alikosea kila mtu anajua. Tuache yale..."kama uliniona nilikuwa nimevaa shati la rangi gani?" GADNER omba msamaha ka mh. Kigwangala alivyokushauri.
 
Eti watu wanasema huyu dada yetu komando alitoa kizazi hili awe msanii bora, kama wanavyosema kwa Diamond kwamba ni freemason,sasa sijui kweli au maneno ya mitaani???mwenye kujua atuambie,ni kweli komando naye ndo wale wale wakupewa masharti hili wawe masusper star??
 
daah ukishaona mtu anaquote mh waziri wa afya ambaye yuko busy kuhangaika swahiba badala ya shida za muhimu za watoa huduma za afya, then unajua kabisa kwamba akili fupi imegoma kurefuka

dogo... sijui nani kazungumzia ugumba, lakini from a what I hear ni kwamba dada alijaribu sana, na naskia binti wa gardiner yupo chuo

BTW, KUMBE HATA HII TAYARI ISHAGEUZWA TEAM GARDINER VS TIMU FIGISU?? YOU CANT BE SELLING ALBUMS KWA KUANZISHA FIGISU FIGISU NA KUUNDA TEAM TUMBO, TEAM MAKWEKWEE, AU TEAM MKOMAO EVERY TIME MNAUZA ALBUMS

This was a lame mistake by Gardiner, na wapambe wa dada mmeamua kutaftia kiki ya kuuza album, maana hata album yenyewe ina nyimbo mbaya tu!!
 
Hivi kesi ya namna hii mlalamikaji anadai nini hasa?
1. kwamba alikojoleshwa lakini si kwa miaka kumi na tano?
2. Kwamba hakukojoleshwa na badala yake alikuwa anakojoa mwenyewe?
3. hakua anakojoa kabisaaa?
πŸ™„πŸ™„ kusema kweli mi kwenye mkojo sijaona tatizo, shida ingekuwa kama jamaa angedai kamtoa ile haja nyingine miaka kumi na tano, hapo kweli ingekuwa ishu! πŸ˜€πŸ˜€
 
Jide bado anampenda jamaa,na hataki kumuacha...kwanza hakutajwa jina,pili jide mwenyewe amewahi kusema kuwa gadner alikuwa na mahusiano na wanawake wengine na alikuwa akiwahonga gari lake...sasa je kama huyo aliekuwa akihongwa na ndo aliekuwa anasemwa na gadner?Gadner usiombe msamaha..utatudhalilisha wanaume.Huyu mwanamke amekuwa akikudhalilisha sana kwa kukuimba mara nyingi...mara mwanaume kama binti,mara yahaya,mara ndi ndi ndi...Uchune tu
 
Hahahhaaaaa...nimecheka kinoma....
 

Nini shida mkuu? Hujui kuwa "Two wrongs don't make a right?". Pia hufahamu kuwa anayemalizia anaweza aonekane bwege zaidi kuliko yule aliyeanzisha? Simple as that. Nahisi tatizo lako la msingi liko kwenye uelewa. Sioni sababu kwanini huoni perspective ya watu wengine wenye maoni tofauti na ya kwako. Unaishia kutolea mapovu watu ambao kwanza huwajui wala kuwaona. Kila la kheri mkuu kwenye kuendeleza ligi. Am resting my case here!
 
Wasalimie huko.
 
Kwamba alikojozwa kwa miaka 15 lakini hakushika mimba.
 
Labda huwezi kujua.ila huyu sister ujuaji na ujeuri wake vinachangia yeye kutopata mimba.
 
we acha ubishi si mzazi mwenzie tu bali walikuwa wanandoa na wakaachana.
hivyo ni mtalaka wake pia..ukininukuu tena hakikisha huandiki neno 'taraka' ni talaka

Doh kumbe ndio maana mikosi hii...kikristokristo huyo wa kwanza ndio mke wake hawa wengine ni kukojozana tu
 
Hawa nao wanajidhalilisha tu...wote wap..mbav...mbona wakt wanatongozana walkuwa hawatuambii....
 
hahhhaha karatas isiyo na mistar
 
Gardner: ukijidanganya kuomba rathi umekubali kosa, na ukikubali kosa litakalofuata ni Jinai na Madai: Be extremely careful na huyu mdada she all out to make u nothing.
 
Wanapendana bado hao

Hawa waandaliwe box la kioo pale mjini center, box kama lile airtel walilokuwa wanaingiza watu warukie pesa zinazopepea.....alafu ndio tuhakiki kama kweli kulikuwa kuna kukojozana ama lah.

Alafu wadau tutatoa uamuzi nani aombe mwingine msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…