Hilo nalo neno! Ila kwa kipindi kirefu nimejaribu kufikiri tafsida ya ndi ndi ndi sijaipata kabisa.Labda huyo mwanamke akiwa anakojoa ndo hutoa sauti za ndi ndi ndi.....
Teh teh teh....
Hilo nalo neno! Ila kwa kipindi kirefu nimejaribu kufikiri tafsida ya ndi ndi ndi sijaipata kabisa.
Kila la heri
Samahani naomba unisaidie hivi anaelia wakati wa kukojoa ndi ndi ndi ni Jide au Gadna?Mi nakwambia ndo milio ya wakati wa kukojoa hiyo....
Mkuu usitoe hukumu kwa kukisia,pengine alikua na mtoto wa kike mwingine kwa miaka 15 kabla ya Lady jay dee je?Mtoto wa kike anaweza kuwa yoyote, na aliyefanya hayo kwa miaka 15 unaweza kupata jawabu alikuwa anamsema nani.
Nani kakudanganya wanaume ni wepesi kiasi hicho?mim ningekuwa JIDE ningemnyoosha angeeenda kuweka ile Gari Bondi kudadek si anataka tuonyeshane πππππ
Samahani naomba unisaidie hivi anaelia wakati wa kukojoa ndi ndi ndi ni Jide au Gadna?
vipi kama labda gadna alikuwa na demu mwingine kwa siri ?Mtoto wa kike anaweza kuwa yoyote, na aliyefanya hayo kwa miaka 15 unaweza kupata jawabu alikuwa anamsema nani.
Naam Mama anataka aombwe radhi. Pole sana Gadna ndivyo dunia ilivyo.
Bado hajatajwa jina.mahakama haifanyi kazi kama waganga wa kienyejiMtoto wa kike anaweza kuwa yoyote, na aliyefanya hayo kwa miaka 15 unaweza kupata jawabu alikuwa anamsema nani.