Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Lady JD ww na lawyer wako wote ni makanjanja..
Gadner hajataja jina la mtu..na kama kumkojoza labda alikua anamuongelea mwanae alikua anampeleka poti kumkojoza ...ww jd embu achana na hizi kesi zako uchwara fanya yako ulivokaa kimya ulionekana ni smart zaidi!!
 
Hii kesi Jaydee amekurupuka kwa kweli, na anaenda kumpa ulaji Gadner asubuhi kweupee.
Mkuu Gadner usikubali hiyo misamaha tafuta Lawyer mzuri hili jambo dogo sana.
Na kama ukihitaji msaada wa aina yoyote plzz usisite.
 
Huyu mama anapenda kesi Kama mpare.
 
[
c6268d9a789d58ed036362594c67a252.jpg
Kila la heri
 
Ushauri kwa Jide:Hakuna faida ya kuendelea kulumbana na mtalaka wako katika vyombo vya habari.Malizaneni tofauti zenu musonge mbele na maisha yenu.
JIDE ajifunze ukimya wa Hilary Clinton wakati mumewe Bill Clinton alipokuwa na kashfa ya zinaa.
Mambo ya ndoa yaachwe katika faragha.
 
Inawezekana Jide kashawishiwa kufungua hiyo case.. Na probably walimshawishi adai faini ile Jide ndo ameicompromise wakafika makubaliano basi aombwe radhi...ukiangalia hilo karatsi lina nembo ya kikundi cha wanasheria wanaoelekea kuteka wasanii wafanye nao kazi... ndo wanadeal na ile ongoing case ya AY na FA against Tigo.
 
Mtoto wa kike anaweza kuwa yoyote, na aliyefanya hayo kwa miaka 15 unaweza kupata jawabu alikuwa anamsema nani.
Mkuu usitoe hukumu kwa kukisia,pengine alikua na mtoto wa kike mwingine kwa miaka 15 kabla ya Lady jay dee je?
 
Siku zote wanawake wanajiona wapo perfect yeye akitukana sawa ila akitukanwa nongwa.
 
Naam Mama anataka aombwe radhi. Pole sana Gadna ndivyo dunia ilivyo.

Unampa pole ya nini?
We huna utu kabisa?
Yani washa achana anamguata fuata wa nini?

Kamthalilisha sana!
Apelekwe mahakamani na kesi ya Tort!
 
Back
Top Bottom